Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
mm hapa mukongo si kweli mtu wa bara na mambo ya hiriki na mdalasini wapi na wapi kwanza atahisi unamrogaAf wewe!!!.....
mm hapa mukongo si kweli mtu wa bara na mambo ya hiriki na mdalasini wapi na wapi kwanza atahisi unamrogaAf wewe!!!.....
AyayayayaaaaaMbona mnagombana wakati mwili wenu ni mmoja
baba mchuchu [emoji23][emoji23]Kodo[emoji15]
Akusamehe umefanyaje???
Unataka aisahau Ilejewatu wa bara hivi vitu ni vigeni kwenu mwanzo mgumu badae utazoea utajionea sawa tu
Namshukuru sana na pia ahsante kwa kunibembelezea..Mungu yu Mwema [emoji120] mondray umeshasamehewa ukuje
salama shikamoo shededewakuu habar zenuu
hahahah naelekea kupatakwahiyo umeshapata wa kukufinyia kwa ndani
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Eeh mana naona nyie mnafaudu sana
Hata mm sijui kaninunia tu..Akusamehe umefanyaje???
Aisee10/North Korea Famine and Floods![]()
![]()
Haya mafuriko yalitokea mwaka 1995 hadi 1998...yaani mafuriko yalisababisha njaa na mlipuko wa magonjwa
Majanga haya yalitokea kipindi ambacho viwanda nilikuwa vinadidomia
Watu milioni 3 walipoteza maisha achilia mbali mifugo na mali
......
hawataelewa shemela huku unapepewa na kawaUnakunywa chai huku unapetiwa petiwa
HakikaKushindana katika mapenzi ni kuongeza mzigo moyoni mwenu
[emoji4]Nilijua tu
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Haaaaahaaaa
Kama namuona Eng.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela shululu n mzinzi sana
linahusu nn mpo member wa humu jfNdio
Wabadilishane na Ray[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Cc: mondray
Sawa mkuu...Sikuzaliwa
......