Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/North Korea Famine and Floods
e9949137f3b0400cece148704a84bd76.jpg
0db919e606270e73c03fac9bf11f01d6.jpg

Haya mafuriko yalitokea mwaka 1995 hadi 1998...yaani mafuriko yalisababisha njaa na mlipuko wa magonjwa
Majanga haya yalitokea kipindi ambacho viwanda nilikuwa vinadidomia
Watu milioni 3 walipoteza maisha achilia mbali mifugo na mali
......
Arrrrgh!

Aisee hao watoto unaweza ukasema wakilala hawaamki..

Pole yao !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom