Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Chinese Famine
93f585fc4d107512cd6cebbc61f5219d.jpg
39ce1d6e1f94bdd34eec24e9c2deb074.jpg
Hii njaa ilikuwa kiboko kiasi cha watu kuwindana
Ilirokiea kati ya mwaka 1959 hadi 1961
Iliua takribani watu milioni 20
.......
Alafu hivi hizi mambo zipo Africa tuu..?

Uki-google picha zinakuja za Blacks tuu
 
10/North Korea Famine and Floods
e9949137f3b0400cece148704a84bd76.jpg
0db919e606270e73c03fac9bf11f01d6.jpg

Haya mafuriko yalitokea mwaka 1995 hadi 1998...yaani mafuriko yalisababisha njaa na mlipuko wa magonjwa
Majanga haya yalitokea kipindi ambacho viwanda nilikuwa vinadidomia
Watu milioni 3 walipoteza maisha achilia mbali mifugo na mali
......
Mh!!!.....nilikuwa nasoma Sanifu ndio maana hii habari sikuipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom