Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,512
- 40,611
Unaeza kuta kuna nyagi inside[emoji4]mushenga ili tukanywe maji na sisi
Unaeza kuta kuna nyagi inside[emoji4]mushenga ili tukanywe maji na sisi
Mmmmh[emoji134] [emoji134] [emoji134]Njaa isikie kwa jirani tu
......
Ninajua tu mistar tu chache tuHahahaaa!
Unajua kutongoza kwa kiingereza? [emoji23][emoji23]
Keep it up mkuu
HatariWanyambo ndio kazi yao kulana mpaka leo..
karibu sana yaan hutojutia ushawahi ogeshwa kwenye kigoda na zaka kuwekwa kwenye kisosi na maji kuwekwa hiriki na mdalasini ni tanga tu pekee
Laha leoTanga Laha!!!
Wazee wa pata potea ...! Don't care fulani hivi..Zinafananaje[emoji51] [emoji51]
[emoji15]Mwanaume unagoma?
Mondray ana maneno kuntu eeh?
Kama huo wa arsenalUnajua wivu wewe???
Sasa hivi anatongoza kwa lugha ya malikia..kupatwa kwa penzi teh
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hapo kwenye kuogeshwa ndo sipendi maji na viungo vyote hivyo mi nimekuwa mboga
Hakika, mtu ambaye hajafika Tanga nampa poletanga kuna raha shemela hujutii ukifika
Haya memsamehe[emoji17]msamehe bwana
Come down dearNimechukia sana baba mchungaji[emoji36] [emoji36]
Ngoja ajeanamwoa nani?
inawezekana sanaUnaeza kuta kuna nyagi inside[emoji4]
Hahahaa! Ila huku fire wenyewe wanachelewa,hahhahah yaan mawazo yako
Af wewe!!!.....watu wa bara hivi vitu ni vigeni kwenu mwanzo mgumu badae utazoea utajionea sawa tu