Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nyie si ndio mmenifunza
Hadi kingereza now naandika..

Hahaaaaa sijui majina ya kiromantik in EnglishKah!
Mara utasikia my paw paw...
6/The Flu Pandemic![]()
![]()
Unayadharau mafua?
Noma Hii ya mafua iliikumba dunia kati ya mwaka 1918 hadi 1919 yaani vinamaliza tu vita vya dunia halafu linakuja janga jipya
Iliua zaidi ya watu milioni 75 huku ripoti zingine zikisema milioni 100
India pekee walikufa milioni 16
Wahanga wakuu wakiwa watoto na wazee
......

Mambo wera
okayAdmin ni Valentina.
Pia nyagei analo lake pia admin ni yy only jf members.
Tanga ni hataree...Unakunywa chai huku unapetiwa petiwa

Ihumwa karibu na kambi ya jeshi, akikufuata tu anapata cha motoTunahamia zetu Dodoma sasa usitufuatilie..
(Pm).
sijambo za wwmalakhaba shunie hujambo
La nchi ganichapio si la nchi hii
Mafua nayo yanajua kutesa aise6/The Flu Pandemic![]()
![]()
Unayadharau mafua?
Noma Hii ya mafua iliikumba dunia kati ya mwaka 1918 hadi 1919 yaani vinamaliza tu vita vya dunia halafu linakuja janga jipya
Iliua zaidi ya watu milioni 75 huku ripoti zingine zikisema milioni 100
India pekee walikufa milioni 16
Wahanga wakuu wakiwa watoto na wazee
......
mondray umeskiaMwambie kabisa asirudie tena kuniudhi
obviously watu wenye ngozi nyeusi wanakinga sana sijajua ni kwanini mzungu akiumwa mafua analazwa6/The Flu Pandemic![]()
![]()
Unayadharau mafua?
Noma Hii ya mafua iliikumba dunia kati ya mwaka 1918 hadi 1919 yaani vinamaliza tu vita vya dunia halafu linakuja janga jipya
Iliua zaidi ya watu milioni 75 huku ripoti zingine zikisema milioni 100
India pekee walikufa milioni 16
Wahanga wakuu wakiwa watoto na wazee
......
Yap she is more than my friend.Kaah
Ninyi na pimbi siwawezi ila fresh sana manake pimbi anampenda mdogo wake mondray...
Utajua tuu kaka..
Hahahaa...leo niko pouwa..hahahhhh we ni mwehu
Woyoooooooo in baba mchuchu's voicePiga kelyelyeeeeee woyooooooo![]()
20M aisee haya majanga tuyakemee kwa maombi8/Chinese Famine
Hii njaa ilikuwa kiboko kiasi cha watu kuwindana![]()
Ilirokiea kati ya mwaka 1959 hadi 1961
Iliua takribani watu milioni 20
.......
Hahaa..!hahahhh
0629099545 add meAdmin ni Valentina.
Pia nyagei analo lake pia admin ni yy only jf members.
Mimi nimekua nazi tenaMsamehee bhana..
Mtu hadi anakuita Nazi bado unamuwekea ngumu![]()