Makapuku Forum

Makapuku Forum

9/African Drought
44c6d06f760b376f6ad6c197c5688bd6.jpg
b012c5a27a6d5b1c1b05b468e865d6ee.jpg
Huu ukame ulitokea barani Afrika kati ya mwaka 1981 hadi 1984
Mito na maziwa yalikauka na hivyo mifugo na wanyamapori kufa kwa mamilioni
Watu milioni 1 na ushee walipoteza maisha
......_
 
10/North Korea Famine and Floods
e9949137f3b0400cece148704a84bd76.jpg
0db919e606270e73c03fac9bf11f01d6.jpg

Haya mafuriko yalitokea mwaka 1995 hadi 1998...yaani mafuriko yalisababisha njaa na mlipuko wa magonjwa
Majanga haya yalitokea kipindi ambacho viwanda nilikuwa vinadidomia
Watu milioni 3 walipoteza maisha achilia mbali mifugo na mali
......
Pole sana kwa North korea,pole sana kwa hawa watoto ,Mungu awalaze pema marehemu wote wa majanga haya na aiepushe nchi hii na nyingine kukutana na shida hii inaumiza sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom