Kweli mkuu ila ni watu ambao wema sema wachache ndo wamechafua kabila zimaBasi historia yao ya kuchhuna ngozi na ujambazi wa kutekana barabarani unakula nondo za kweli, ilikuwa hatari sana
KumbeeeHuko ni kwao
I think Tanzanian should adopt this system...JE WAJUA?
Stockholm nchini Sweeden kuna Condom Ambulance ambayo huleta pakti 10 za condom hadi mlangoni kwako kama ukiwapigia simu wakuletee.

Nilikumiss bro..I think Tanzanian should adopt this system...![]()
Kuliko wewe!!!Mukongo umetisha
Sana tuMiss you too broh..
Naamini uko salama
Nakumbuka kuna kifungu kwenye biblia kinasema mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake ogopa huu mstari usikuhusu

EnheeSawa nikuambie kitu
Tanga Laha!!!Salama mkuu, nilipotea kidogo baada ya kutekwa na mamazi wa Tanga
teh nakuonaaaKaribu le Madame
ahhaahhah baba mchuchuRoho inakuuma Maskini![]()