Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,512
- 40,611
Unajua wivu wewe???Werason wivu unamsumbua
Unajua wivu wewe???Werason wivu unamsumbua
tanga kuna raha shemela hujutii ukifikaCc shunie
tupicha tafadhaliJE WAJUA?
Shigetaka Kurit ndie aliyetengeneza Emoj
AiseeeJE WAJUA?
Stockholm nchini Sweeden kuna Condom Ambulance ambayo huleta pakti 10 za condom hadi mlangoni kwako kama ukiwapigia simu wakuletee.
[emoji4]hahahhah wivu sio wa tanzania hii
[emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15]Hujui historia ya mwanao?
anamwoa nani?Anakaribia kuoa
Sio kazi yangu subiri wataalamu waje..tupicha tafadhali
Laiti ungeniona hapa mwenzio. Na huyu mwanaume sijui kwanini hatokei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushungu huo vepee nyuma ya keyboard
[emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu niite naona shemela shululu yy ndio mwenyekiti wa kikao si kwa majibu hayaanamwoa nani?
Sawa tu nitese..Laiti ungeniona hapa mwenzio. Na huyu Mwanaume sijui kwanini hatokei
poyeee na hii hali ya hewa jikaze tuLaiti ungeniona hapa mwenzio. Na huyu mwanaume sijui kwanini hatokei
Nimeahirisha mpaka utakapo punguza hasiraEnhee
Njoo tuzungumze mkuu usiendee[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona hatuambiiii twende kwenye vikao
Mi huko nitaendatanga kuna raha shemela hujutii ukifika
mushenga ili tukanywe maji na sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona katokea lakini naona umenyweaLaiti ungeniona hapa mwenzio. Na huyu mwanaume sijui kwanini hatokei
karibu sana yaan hutojutia ushawahi ogeshwa kwenye kigoda na zaka kuwekwa kwenye kisosi na maji kuwekwa hiriki na mdalasini ni tanga tu pekeeMi huko nitaenda