Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/The Carpet Python
c6fd43ab6ac03899dce9d74f92cca302.jpg
Hawa ni chatu jamii ya Morella
Wastani wa urefu wao ni Mita 2(6.6ft)...kwa kawaida madume huwa ni madogo kuliko majike
Baadhi ya sehemu majike yana uzito mkubwa mara 4 ya madume
........
 
Ila kuna siku nilikuwa site huko wilayani Bahi mida ya usiku nilikuwa niko na mrembo wa kigogo jirani nasi kulikuwa na mti, so ili kuweza kumlaghai yule manzi nilipitisha mkono kwa mabega yake ili awe close nami suddenly nilihisi kuchomwa na kitu ila nilipotezea nikidhani ni sungusungu mdudu kumbe ni nge, nilishtuka maumivu yalipozidi na mkono kuanza kuishiwa nguvu, yule manzi nilimuacha na kurejea nilipofikia. Nilijichanja kidogo na kukamua sumu ila sikulala usiku ule na asubuhi ndio mkono hauna nguvu kabisa.

After 20hrs nikapona kabisa
una mbwembwe wewe!!!
 
9/The Colombian Red Tail Boa
febc62c0cd5068ce4c5b3c3fd84f2a91.jpg
Wanapatikana huko Colombia

Majike huwa na urefu wa Futi 7 hadi 10 wakati madume huwa na urefu wa futi 6 hadi 8
Wana rangi ya kuvutia mkiani inayoendana mazingira ya misitu waliyopo
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom