Makapuku Forum

Huko ndio usiseme ile siku manusura nikimwage kwenye Azam.

Maboti ya kule kwetu sasa kwenda burundi ndio usiseme naregea kama mtoto hadi naumwa
Kuna dawa ukiwa safarini unaweza tumia ninao watu wa namna hii katika familia hadi niliwapeleka hospital tukaandikiwa dawa kwa hiyo kila tukianza safari majini,bus,ndege wanakunywa dawa na haitokei tena
 
Aisee ilikuwa safari ya maumivu hiyo
We acha tu. Tiketi imeshakatwa na kuahirisha safari kisa nge was not an option. Niliichukulia kama challenge yangu kielimu and I kept the fire kiasi kwamba nikaweza kupata first class tupu mpaka Mlimani. Usichezee scorpion hata siku moja mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Amina sana sana nawaombea tu,maana shida ni namna ya kupokea hili lililotokea lakini wote wanaelewa kosa lao ,huwezi amini ilikua siri yao hakuna aliyejua,nilipowauliza wakasema walichofanya ngoja wafike nitajua la kufanya,nawashukuru sana kwa ushauri na kunitia moyo Mungu awabariki
 
Pole,na hongera sana
 
Anz kukemea kwanzq utajua ni nini,pia inategemea nq imani yako penda kumwaga maji ya baraka ndani ya nyumba nq mazingira au nunua mafuta ya mzeituni ,chumvi changanya kwenye maji, yaombee yawe damu ya Yesu,kwa imani mambo mengi yatabadilikq


Kuna mapaka yakikua kila siku yanalala dirishani kwangu na kulia vibayaaaa,nikaombea maji nikaweka chumvi nikaweka imani ,hakika baada ya wiki nilsikia harufu za ajabu,yalikufa [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…