Makapuku Forum

Makapuku Forum

e7eec0401155f398a75f53cf1275f9bb.jpg
 
Za asubuhi mkuu umeamkaje?vipi hali yako?pole Mungu aendelee kukuimarisha.

Nimesoma ujumbe wako natamani kuelewa zaidi,unisaidie kufafanua hapo,khs kesi kufanana na Bashite,napenda kujifunza ili pia nipate maneno ya kuwaeleza wanielewe na wachukukuliw hili suala kwa kulielewa,hivi wapo njiani wanakuja,nadhani usiku nitakuwa nao hapa
Bwana Yesu asifiwe Mama Mchungaji......ndio Tanzania yetu hiyo ya double standard.....huu ni mwanzo wao mwingine wa kuutafuta mlango wao Mungu aliowafungulia.....when things get tough the tough get going.....waambie sio mwisho wa maisha.....there's still hope
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom