Morning NyageiMorning le mukongo
Niaje shededesalama mkuu nyagei
Aisee, hii ni kweli
Karibunaombeni niwe memba
Morning mukongo aka baba mchungajiGood morning watu wa Mungu.....Natumai Mungu kawaamsha salama.....May mosi hiyo wandugu 1/3 ya mwaka ndo ishakata hivyo, Je malengo yako yamefika wapi???.....
Kumekucha na makucha yake kila mtu nakichaa chakeKumekuchaje mkuu
Morning mndaliMorning nyagei
Yupo anatakutafuta umpe report ya kaziwakuu habar za asubuhi
naskia dr.lee amekuja
boss popote pale ulipo habar za hasubuhi
Ahsante sana mkuu shululu kwa magazeti mubasharaMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho, kwa udhamini wa mnono wa mlinzi wa shunie, Shedede![]()
![]()
Pamoja NyageiAhsante sana mkuu shululu kwa magazeti mubashara