Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mmmh mimi na familia yangu mtuombeee tu,kuna ndugu zangu wamenipigia simu yamewakuta,bado wadogo wala hatukujua..nimewashauri waje kwanza maana wako katika wakati mgumu wana shock na kukata tamaa,nawaombea amani wote waliopata shida hii na Mungu awatie nguvu maana ni ngumu kupokea ila ndio limeshatokea .
Roho mtakatifu akupatie moyo wa ujasiri ili kukabiliana na hali hii ya sasa
 
25097a1baf5ec0690b252f8e2a55c2d7.jpg
Nimeogopaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom