jana bayern munich wameshinda kombe lao la bundesliga kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuifunga Wolfsburg 6-0.
ni kombe lao la 13 katika miaka 20 iliyopita.
wakati huo huo dortmund kajihakikishia kishiriki uefa mwakani baada ya Hertha berlin kufungwa na Werder bremen.
kwenye mechi kati ya Dortmund vs cologne talk of the town haikua matokeo ya bila kufungana bali ilikua ni jinsi mchezaji wa zamani wa dortmund
Subotic alivopokelewa na mashabiki wa Dortmund huku akipewa standings oviation baada ya mechi kuisha.
mchezaji huyo wa serbia mwenye umri wa miaka 28 amecheza dortmund toka msimu wa mwaka 2007/08 akitokea Mainz 05.