shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Honolulu1907 - Honolulu inakuwa Jiji linalojitegemea rasmi.
Honolulu1907 - Honolulu inakuwa Jiji linalojitegemea rasmi.
Pole sana, najua shemela kaumaliza huo uchovuMkuu namshukuru aliye juu ...uchovu wa porini tuu mkuu
Pamoja sana NyageiAhsante mkuu kwa magazeti mubashara
Lishakuwa kuwa lao hawa majamaajana bayern munich wameshinda kombe lao la bundesliga kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuifunga Wolfsburg 6-0.
![]()
ni kombe lao la 13 katika miaka 20 iliyopita.
wakati huo huo dortmund kajihakikishia kishiriki uefa mwakani baada ya Hertha berlin kufungwa na Werder bremen.
kwenye mechi kati ya Dortmund vs cologne talk of the town haikua matokeo ya bila kufungana bali ilikua ni jinsi mchezaji wa zamani wa dortmund Subotic alivopokelewa na mashabiki wa Dortmund huku akipewa standings oviation baada ya mechi kuisha.
mchezaji huyo wa serbia mwenye umri wa miaka 28 amecheza dortmund toka msimu wa mwaka 2007/08 akitokea Mainz 05.
Joshua hana pumziIpo michezo bora ila huu ni miongoni mwa hiyo michezo bora kabisa katika miaka ya karibuni katika ulimwengu wa masumbwi.......
Anthony Joshua ni mvulana anayekuwa kwa kasi na kuelekea katika uanaume, anajua namna ya kuanza pambano na anafahamu namna ya kumaliza pambano.... Wladimir Klitschko ni kama alifanikiwa kilirudisha pambano mikononi mwake na ilionekana Joshua amezidiwa ila raundi ya 11 Joshua alizinduka na kulimaliza pambano kwa KO.......
Sasa Anthony Joshua keshacheza mapambano 19 na kushinda yote 19 kwa KO. Na sasa anaendelea kuwa bingwa wa dunia wa IBF na ndiye bingwa mpya wa WBA.
Heavyweight champiooon Anthony Joshua.
Ni kweli unachokisema ...na wengi tulitegemea ashindwe kwa point na huyu Mr iron fist ...ila uwezo wake namna ya kuanza na kumaliza michezo yake kunamsaidiaa sanaJoshua hana pumzi
Ashukuru kakutana na babu
Ila yupo vizuri
.....
Ndio ligi yao ilivyoLigi ambao bingwa habadiliki inaboa.....inaonesha gap kubwa kati yao
Matokeo yake wachezaji wote wanataka wasajiliwe Bayern
......
1939 - Televisheni ya NBC yaanza kurusha matangazo yake kwa mara ya kwanza.
Pole katibuNa wewe pia kapuku
WBA maana yake tafadhaliIpo michezo bora ila huu ni miongoni mwa hiyo michezo bora kabisa katika miaka ya karibuni katika ulimwengu wa masumbwi.......
Anthony Joshua ni mvulana anayekuwa kwa kasi na kuelekea katika uanaume, anajua namna ya kuanza pambano na anafahamu namna ya kumaliza pambano.... Wladimir Klitschko ni kama alifanikiwa kilirudisha pambano mikononi mwake na ilionekana Joshua amezidiwa ila raundi ya 11 Joshua alizinduka na kulimaliza pambano kwa KO.......
Sasa Anthony Joshua keshacheza mapambano 19 na kushinda yote 19 kwa KO. Na sasa anaendelea kuwa bingwa wa dunia wa IBF na ndiye bingwa mpya wa WBA.
Heavyweight champiooon Anthony Joshua.
Siikubali Chelsea ila kwa Leo niko upande wao wanipigie huyu mtoto mtukutuLeo hatari tupuu .....