Makapuku Forum

Makapuku Forum

England EPL
26a60323a999c4a07eb39cfa9a5d3d18.jpg

Zote ni big game leo
Patachimbika aisee
 
ea9a3b32d4f40b60744f0f02f9ca99c8.jpg

Raundi ya 11
klitschnko kaenda chini mara 2 akanyanyuka na kudundwa za fastafasta
a9b96204d09fabc75a73f41bd678246e.jpg

Joshua kashinda KO ya raundi ya 11

Games 19
KO 19
Usiku mwema
...........
Ipo michezo bora ila huu ni miongoni mwa hiyo michezo bora kabisa katika miaka ya karibuni katika ulimwengu wa masumbwi.......

Anthony Joshua ni mvulana anayekuwa kwa kasi na kuelekea katika uanaume, anajua namna ya kuanza pambano na anafahamu namna ya kumaliza pambano.... Wladimir Klitschko ni kama alifanikiwa kilirudisha pambano mikononi mwake na ilionekana Joshua amezidiwa ila raundi ya 11 Joshua alizinduka na kulimaliza pambano kwa KO.......

Sasa Anthony Joshua keshacheza mapambano 19 na kushinda yote 19 kwa KO. Na sasa anaendelea kuwa bingwa wa dunia wa IBF na ndiye bingwa mpya wa WBA.

Heavyweight champiooon Anthony Joshua.
 
...and just like that, we have a new era in the heavyweight division. After many years of stagnation and lack of enthusiasm under the Klitchiko brothers' domination, a new, young, entertaining and charismatic champion has just been crowned (Joshua). Wuhuuu...Let the new era begin. Heavyweight boxing is back baby
Kijanaa hatarii huyu
 
Germany Bundesliga
5ac4f4a95d5e25444b7fee6d2f18d00f.jpg
jana bayern munich wameshinda kombe lao la bundesliga kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuifunga Wolfsburg 6-0.
d14b12bcce947d16858d56cb5f00d794.jpg

ni kombe lao la 13 katika miaka 20 iliyopita.

wakati huo huo dortmund kajihakikishia kishiriki uefa mwakani baada ya Hertha berlin kufungwa na Werder bremen.

kwenye mechi kati ya Dortmund vs cologne talk of the town haikua matokeo ya bila kufungana bali ilikua ni jinsi mchezaji wa zamani wa dortmund Subotic alivopokelewa na mashabiki wa Dortmund huku akipewa standings oviation baada ya mechi kuisha.

mchezaji huyo wa serbia mwenye umri wa miaka 28 amecheza dortmund toka msimu wa mwaka 2007/08 akitokea Mainz 05.
 
Ligi ambao bingwa habadiliki inaboa.....inaonesha gap kubwa kati yao
Matokeo yake wachezaji wote wanataka wasajiliwe Bayern
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom