Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Naona Monaco anatakata tuFrance league 1
![]()
Naona Monaco anatakata tuFrance league 1
![]()
Haaaaahaaaa, Lee mwenyewe alipagawame mbona kapole muulize lee hahahhh
Asante nawe pia kumbuka kuwa mungu hawezi kukuacha kamweusiku mwema mashemela wa shunie mlale salama na mlindwe na damu ya Yesu
acha nikawajibike si mnajua leo amerudi nisije nikaibiwa
binamu obe shikamoo nitamwambia mjomba ako kuhusu swala lako la simu ya tachi akununulie
mlale unono
akwendreeeInabidi umsikie tu maana hamna namna nyingine
Sawa naona Amesema hakuamini na huyo mwingine kibarua kiota majani ndo nimegundua ulinzi shirikishiKuna walinzi wanaoonekana na wasio onekana
Niliona kwa jicho la tatuKumbe uliona
Kapania kufuta utejaNaona Monaco anatakata tu
Na kwako pia kamandaUsiku mwema makamanda wote na mungu awalinde
Asante kamandaNa kwako pia kamanda
...and just like that, we have a new era in the heavyweight division. After many years of stagnation and lack of enthusiasm under the Klitchiko brothers' domination, a new, young, entertaining and charismatic champion has just been crowned (Joshua). Wuhuuu...Let the new era begin. Heavyweight boxing is back baby![]()
Raundi ya 11
klitschnko kaenda chini mara 2 akanyanyuka na kudundwa za fastafasta
![]()
Joshua kashinda KO ya raundi ya 11
Games 19
KO 19
Usiku mwema
...........


