Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Box Jellyfish
15ad748e1ad48e6083ce5cc22d76616d.jpg
692cfd0cd344e5cf10b73a7815a5f016.jpg
f5202781d3635a892cd57a49de8f7269.jpg

Rekodi zinaonyesha mwaka 1984 pekee aliweza kuua watu 5600
Sumu yake huathiri moto, mfumo wa Neva pamoja na ngozi
Ukichelewa kuchukua hatua kwa sekunde 30 tu basi kaburi litakuhusu
Wanapatikana huko Asia na Australia
Mwisho
..........
 
1/Box Jellyfish
15ad748e1ad48e6083ce5cc22d76616d.jpg
692cfd0cd344e5cf10b73a7815a5f016.jpg
f5202781d3635a892cd57a49de8f7269.jpg

Rekodi zinaonyesha mwaka 1984 pekee aliweza kuua watu 5600
Sumu yake huathiri moto, mfumo wa Neva pamoja na ngozi
Ukichelewa kuchukua hatua kwa sekunde 30 tu basi kaburi litakuhusu
Wanapatikana huko Asia na Australia
Mwisho
..........
Picha ya pili nikiiona nakumbuka utani wangu na shunie asubuhi..


Asante Bitoz kwa top 10
 
5/Death Stalker Scorpion
6761c8910071e39e5f45d656a55b458b.jpg

Achana na Scorpion mtoboa macho wa Buguruni...huyu nge ni noma
Ukipigwa tu na mkia wake utapata maumivu makali hadi kuzimia au kutojitambua kabisa{coma) na kisha utakufa...
Wanapatikana Afrika Kaskazini na Asia mashabiki..
Sumu yake ni mara 200 ya "cobra wa kawaida"

Scorpion kick goal la Mkhitaryan ni kielelezo cha shughuli ya nge

.........
Hahahaaaaaaa
 
2/King Cobra
18522edb3db6b39585c6e163e7bb27e5.jpg
Mfalme Koboko km jina lake lilivyo ndo Mfalme wa nyoka wote duniani..anapatikana huko kwenye misitu ya kwenye miinuko Kusini Magharibi mwa Asia
Huweza kufikisha hadi urefu wa futi 18.5 ana tabia ya kula nyoka wenzake
Sumu yake inaua mtu kwa dk 15 tu
Anaweza kumuua tembo mkubwa kwa masaa 3 tu
Ana ewezo wa kuto sumu kumzidi Black Mamba
......
Sahihi kabisa, hata Tabora wapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom