shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nyoka na chura ukikuta wanagombana utafurahi sanaNyoka wengi nafikiri ni kawaida yao km samaki style ....mkubwa anammeza mdogo
....
Nyoka na chura ukikuta wanagombana utafurahi sanaNyoka wengi nafikiri ni kawaida yao km samaki style ....mkubwa anammeza mdogo
....
Aisee, Asante bitoz kwa top ten1/Box Jellyfish![]()
![]()
![]()
Rekodi zinaonyesha mwaka 1984 pekee aliweza kuua watu 5600
Sumu yake huathiri moto, mfumo wa Neva pamoja na ngozi
Ukichelewa kuchukua hatua kwa sekunde 30 tu basi kaburi litakuhusu
Wanapatikana huko Asia na Australia
Mwisho
..........
bora
hahahhh ujue na mm niliifananishaPicha ya pili nikiiona nakumbuka utani wangu na shunie asubuhi..
Asante Bitoz kwa top 10
Nimeweka picha 3 makusudi maana hiyo ya kati wazinzi wangeelewa vinginePicha ya pili nikiiona nakumbuka utani wangu na shunie asubuhi..
Asante Bitoz kwa top 10
hahahhah we mtu ni sheeda eb rudisha avatar ya mwanzo ya soudyhabar za saiv familia yangu???
shunie wapi boss wangu sijamuona nina kitambo??
hahahhah shedede ndio mana namwambia kazi imemshinda nataka kutekwa et ila kutekwa kwangu napelekwa sehem nzuriAfande shedede hayupo ni nini
kweli kwa nnMimi sikiogopi kabisa
hahaha... kwan hii mbayahahahhah we mtu ni sheeda eb rudisha avatar ya mwanzo ya soudy
Boss wako yupo porini sana network hamna siku mbili hzi anaweza rudi akiwa mjini
Si ushayaonaTupo humu, niaje mkuu
Paka hasogei hapoHawa ni shida, hata Nyoka wanajua
Hahahaaaaaaa
Mfalme Koboko noma sanaSahihi kabisa, hata Tabora wapo
nilivyoiona nakumbuka vituko vya huyo mtu mrudishe soudy ndio tumeizoeahahaha... kwan hii mbaya
hahaha... haya bhananilivyoiona nakumbuka vituko vya huyo mtu mrudishe soudy ndio tumeizoea
izoee na hiyo shemlakenilivyoiona nakumbuka vituko vya huyo mtu mrudishe soudy ndio tumeizoea
Mh huyo nan tena mrudishe soudy ile ya mwanzohahaha... haya bhana
mkuu habar??BUNDESLIGA UPDATES
Thiago Alcantara kaongeza mkataba na bayern munich hivo kukata kidomo domo cha vyombo vya habari kwamba anarudi Barcelona
Kingsley Coman kasajiriwa rasmi na Bayern munich baada ya kuwa kwa mkopo akitokea juventus. kasainu mkataba wa miaka mitatu hadi 2020.
Mh vingine havizoelekiizoee na hiyo shemlake
Nyoka na chura ukikuta wanagombana utafurahi sana
uwiiiiiii mpk nasisimka
ikitokea chura kazudiwa anataka kumezwa anajitunisha![]()
![]()
![]()
![]()
.....
kwema kiongozi, mambo vipmkuu habar??