Nikisomaga habari kama hizi naharibu mood.....alafu kuna mtu anajidai ananyoosha inji[emoji34]Wakati tukiwa bado na pilikapilika za kinachoelezwa kubana matumizi, LUGUMI Enterprises iliyopewa mkataba wa kifisadi na kulipwa Tshs bilioni 34 kwa ajili ya tenda ya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini bila kufanya chochote, Tshs bilioni tano zilitumika kama mafunzo pekee. Ambapo waliopewa mafunzo hayo ni watu watano (5) huku baadhi yao wakiwa ni watendaji wakuu wa wizara ya mambo ya ndani na taasisi zake.
Aidha inadaiwa kuwa mafunzo hayo yalifanyika moja ya mataifa ya barani Ulaya huku kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa matumizi.
Swali la kujiuliza ni kwanini hayo yafanyike huku kukiwa na ukimya kutoka serikalini?
Uchunguzi pia unabaini kuwa LUGUMI Enterprises ilipewa tenda huku ikishinikizwa kuwa na ubia na kampuni ya Infosys inayomilikiwa na waziri Charles Kitwanga pamoja na mkurugenzi mkuu mpya wa NIDA. Kwanini hayo yafanyike?
Tuelezwe kuwa Infosys na LUGUMI Enterprises waligawana asilimia ngapi kila mmoja kwenye mradi kinyume cha taratibu?
Mafunzo ya wastani wa mtu mmoja kugharamiwa Tshs bilioni moja ni ya aina gani?
Ni kwanini mkataba huo hauwasilishwi PAC kama inavyotakiwa? Nini hasa kinafichwa ufisadi ufisadi.
What???karibu sana shemela kingine ukumbuke huyo ni msukuma anaishi mwanza na akitembea bara barani anakua na msafara wa magari kama n kiongozi wa nchi
ni tajiri sana naskia alikuaga fundi viatu tu
anainyoosha kwa walalahoi tuNikisomaga habari kama hizi naharibu mood.....alafu kuna mtu anajidai ananyoosha inji[emoji34]
hii nimeipenda1989 - Mapacha Lars Bender wa Bayer Leverkusen na Sven Bender wa Borussia Dortmund wanazaliwa.
Ni Wajerumani ambao wote wanacheza kama viungo wakabaji katika timu zao.
Rekodi ya Dunia[emoji12]hapana kwakweli ili iweje watto wote hawa
.....wana 7bu zao kutuambia tuzae kwa mpango!Ila tumeiga style ya wazungu itakuja kutuumiza vibaya sana, siku za mbeleni
[emoji4]hahahha af wewe mukongo
Mtundu eeeh???[emoji3]we humuoni mukongo
[emoji23] [ emoji23] [emoji23]Kuna mtakatifu mweusi?
Au ubaguzi hadi makanisani
.....
aiseeeRekodi ya Dunia[emoji12]
Halafu ana miaka 37 tu so the game is still.....
halaf muchokoziMtundu eeeh???[emoji3]
Hizo dini ni za Waarabu na Wazungu...Waafrika tumejipendejeza tu na kuacha zetu za jadi(matambiko na mizimu)[emoji23] [ emoji23] [emoji23]
mimi naona utakuwa ubaguzi wa rangi,
Sasa hivi Waafrika tumepunguza kasi ya kuzaliana wakati Wahindi + Wachina wapo bilioni 2.....wana 7bu zao kutuambia tuzae kwa mpango!
Hivi imepindia wapi mpaka inyoshweNikisomaga habari kama hizi naharibu mood.....alafu kuna mtu anajidai ananyoosha inji[emoji34]
Tukiwa wengi wanatuogopa, Tukiwa wachache wanatucontroll.....wana 7bu zao kutuambia tuzae kwa mpango!
Kazana shemela uivunje hiyo record [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]aiseee
Tumeanza kuiga uzunguSiku hizi hatupendi Kuzaa watoto wengi, wakija wakimbizi wanazaana sana, sisi tunaangalia tu.