Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
si wewe hapo bana..Unamuomba abadil jina..am just trying..HOw does it sound wifi
si wewe hapo bana..Unamuomba abadil jina..am just trying..HOw does it sound wifi
Shemeji kulikon tena ndugu yangu...Haya maneno yanaashiria mambo si shwari...Tutaona,maana mnaringa sana.
nasikia unachepuka...Una mke wewe..Kweli?umeona amekubali, sawa na mtu kusema ukiacha kuvaa shati hili ntakubali niwe wako, c nanunua lingine?
Najisikia raha mpenzi kuwa nawe mda huu.ndio hny
Utasubiri sana braza.Tutaona,maana mnaringa sana.
dah..Basi shem kumbe ndiyo maana ulikuwa side yake si tu ana mke anamke tena mwema anaitwa Patience123 na mtoto wa watu anampenda mno ndiyo maana Mtumish jambilo ana-take hiyo advantage ya kufanya afanyalo..
wanapeleka wapi we niambie ninazo pesa mbov kibao kama una dola mia mbov wao wananunua sh ngapi?Wanasema mjini chuo kikuu sema wakuja wanajikuta wameingizwa choo kikuu ha ha haa.. nauza spoke za bike mkuu, wacha niweke kabisa katangazo maana sitapata air time mahali pengine!
Nilikuwa na mchumba tu lakini hana viwango vyangu, anaogopa hotelini kula, hataki kupanda gari, anasikia unachepuka...Una mke wewe..Kweli?
same to me honeyNajisikia raha mpenzi kuwa nawe mda huu.
Hahhahahaaaa hata kwa dada poa pia daily risitiNdugu mshana nimegundua vichwa vingi vimelala huku 'Makapuku' I mean huku ndo kuna vichwa hasa so hakuna tena haja ya kuweka jam Google kila jibu tunalipata huku! Eti nasikia kuanzia mwaka ujao wa fedha ukienda guest dai risiti,ukiona jirani yako kafanya sherehe muulize kama amelipa V.A.T 18%? Ukimlipa baba mkwe mahari dai risiti!
muoneni huyu😱😱😱😱Nilikuwa na mchumba tu lakini hana viwango vyangu, anaogopa hotelini kula, hataki kupanda gari, a
10 Nyingi mno.Wakuu naombeni tupate 10 minutes break.
Mwite tu aje akuondolee fasterNi nzuri mpenz...barid flan hiv amazing ikiambatana na kamvua kadogo
wanapeleka wapi we niambie ninazo pesa mbov kibao kama una dola mia mbov wao wananunua sh ngapi?
hili jibu la kikapuku ngoja nikajinywee casto mie usiku mwemaBiashara ni makubaliano kati ya mteja na mwenye biashara so mnakubaliana tu ila muhimu kwa kila dola unayouza usisahau kumpa risiti mnunuzi na kodi ya Magu iwepo!
youngblood anaiombea dua mbaya ndoa yangu na aggyjay, anasema haitochukua mda mrefu.Shemeji kulikon tena ndugu yangu...Haya maneno yanaashiria mambo si shwari...
Unaanza kuamini kuwa hakika inahitajika tufunge na tusali sana kwa ajili ya Mtumish yaan imekuwa vice versa sasa..muoneni huyu😱😱😱😱
Mpenzi ngoja nitoke kidogo then narudi.same to me honey