Anzisha swagaVIJANA WAMEKULA KONA MBONA KUPO KIMYA
Wanakuja mda si mrefu.VIJANA WAMEKULA KONA MBONA KUPO KIMYA
Na mwanga wa milele waangaziweInasikitisha sana.
Wapumzike kwa Amani.

Like me and lizziebettieLike me and my manuu![]()
Poa sana..Adje pande hizo?mambo niaje waungwana ..
Ni nzuri mpenz...barid flan hiv amazing ikiambatana na kamvua kadogoFor real my mpenzi...Jion yako imekaaje Mumy?
Hakika ni hali ya kupendeza ila A/C ya kwenye gari inafanya kazi vizur ili uweze jitafutia hali ya hewa upendayo my dear...Ni nzuri mpenz...barid flan hiv amazing ikiambatana na kamvua kadogo
Njema kabisa, za mida?Poa sana..Adje pande hizo?
Kumbe mashairi yako vizuri eehNimejifunza mtaa ukweli wanaukataa, uwongo wanaukubali ufitini umejaa ,
kuna shida na raha bahati na mabalaa hakuna ujamaa
Salu T
ni powa , mambo niaje Kimario?Oyoooo vipi wakuu
Poa sana tupo kijiweni hapa bado..tunalisongesha ..Njema kabisa, za mida?
mbali nakutumia kichwa kufugia nywele, pia nakitumia katika kumeza ...Kumbe mashairi yako vizuri eeh