Makapuku Forum

Makapuku Forum

188b3618e0718414895ea92aafb7c6c4.jpg

Draw kombe la CAF
Yanga v Sagrada
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
Bado kingine kinakuja hicho
 
Tumekufa kiume mara sijui nini kufakufa tu yaani unataka kunianbia aliekufa kwa maleria aonekane mzembe ila aliekufa kwa ukimwi anekane shujaa mashabiki wa yanga acheni hizo
139a388c04c30d175f530fd62cb4c5bf.jpg
d5710a0cc2a5eaf70652b70aff6e3bb6.jpg
40d67735ce353ef459ad4dc72df9cd82.jpg

Endelezeni kupiga umbea halafu mnafungwa hadi na TOTO tena U/Taifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
 
Kumbe we hukuanzia mwanzo. Jambilo ni wa Patience123 haijalishi anajitoa ufahamu kiasi gani kwangu namuhesabu kama baba Mchungaji na mume halali wa patience123 sasa kilichounganishwa na Manuu mtu na asijajiribu kukitenganisha ndomana namsisitiza kuwa hawezi kufanikiwa
Kweli kabisa hata mi ni shahidi huyu mchungaji itakua ameachika tu
 
Nahisi hujapona ule ugonjwa wako! Uliona wapi mtu kujiita Kapuku amejidhalilisha, hautujui hata sisi hatukujui shida iko wapi. Usiongee kabla hujafikiria unachotaka kukiongea, kujiita kwetu Makapuku hakuondoi uhalisia wa maisha yetu. Boya wewe, sijui umeijia nini Makapuku forum. Umeshinikizwa na mtu kuja?
Pita huku .....[emoji124]...

Sawa kapuku, nimekuelewa kapuku nimekupata kapuku, salute kapuku...... kapuku bwana mna mambo nyie
 
Jimena nakubaliana na wewe ila sisi wanaume huwa tuna amini kwamba mwanamke yeyote anayeonyesha ugumu mwanzon wakati unamwa-approach huyu ndiye atakuja kukukubalia mwishoni so na amini jambilo hajapoteza track saaana wacha tutaona mwisho..
Sasa kwani jambilo ni wa kwanza kutupia karata yake??? Waswahili wanasema maji yakija kasi yaache yapite.... Hivyo nae atafika mahali atakubali matokeo kuwa hatakiwi na atarudi kwa mama mchungaji
 
Back
Top Bottom