Ana bahati sana next game ni LaLiga ingekuwa ni UEFA sijui tungesemajeHapo sawa mkuu japo bado wanachangamoto katika maeneo mengi kwa sasa hata beki ya kati hawana mbadala wa Ramos na pepe wote wakiwa majeruhi wanapata shida sana
Atasubiri sana Wengerkipindi ambacho arsenal anafanya invisible ilikua mwaka 2004 kipindi ambacho ligi ya uingereza ilikua on fire balaa, hakuna timu yyte ilikua inaombea ikutane na timu toka uingereza, baada ya hapo ndio wakaibuka wafanya biashara na kuanza kumwaga pesa hovyo hovyo na hapo ndio kikaanzia kifo cha ligi ya uingereza,
kitu kinachommaliza wenger ni kutokusoma alama za nyakati, zile enzi za wachezaji kucheza kwajili ya jezi na nembo za timu hakipo tena, wanachowaza wao ni hela tu, lakini bado wenger ana amini kuwa kuna akina viera, Bergkamp katika soka la sasa na bado ana amini ipo siku atawapata, hataki kubadilika kulingana na mazingira
Nimekusomaunajua pep alivoanza man city ilikua inacheza mpira mzuri sana, baadae naona nae kaamua kuadopt butua butua kama timu zingine.
QuotedUsiogope kuw. Na pua mbaya ukadhani za wenzio ni real siku hizi kuna fake nywele,fake pua,fake kucha,fake sura hata maeneo mengine siwezi ya taja ,bora uridhike na yako lakini halisi,hata maisha ni vizuri kuishi maisha yako sio ya mngine[emoji123]
[emoji1][emoji1][emoji1]Rey mylove where are you?
Huko unakosema ndio kuna milima mingi sivyo?Katika sehemu ninazo ogopa ni kitonga na njia ya kwenda songea kuna sehemu inaitwa lukumbulu sijui kama nimepatia jina lake
hahahah pole sanamaana hakuna anayenimiss naona mnamissiana wenyewe kwa wenyewe acha na mie nijimiss tu maana hakuna namna [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata pori la Mlimani City nisingekatiza pale mataa Big Star
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
umeitika kama babu yangu wa kisambaaMakhabaaa mtoto mzuli[emoji4]
Inavutia9/Crater Lake
Linapatikana huko Marekani katikajimbo la Oregon.ambako linajulikana km National Crater Lake
Halina mto unaomwaga maji kutokea huko wala kuelekea huko
Miaka mingi iliyopita lilikuwa linalipuka volkano
Lina kina cha mita 592
......
Asante sana Mkuu Bitoz nimejifunza mengi leo,vipi lile lake ngozi kule Tukuyu halipo kwenye records nasikia kuna wageni walijribu kupima kina wakapotea sina details sanaa
Inapendeza sana6/Lake Malawi
Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706
Umewahi kula usipa?
Wanapatikana huko...kwanini Wanyaki wasinenepe
........
Ndio uamini sasaHabari za jioni wakuuu
Hope nyote mko bomba
Sitaki kuamini kua ktk text 300+ Valentina hakuniulizia au mrembo yoyote hakuniulizia...
Hongera kwa utalii wa ndani mkuu2/Lake Tanganyika
(picha nimezipiga mwenyewe wakati nikiwa Kigoma)
Ndio ziwa lenye kina kirefu zaidi barani Afrika
Kwa sehwmu kubwa linatenganisha nchi za DRC na Tanzania
Nafikiri kila mtu kawahi kula dagaa wa Kigoma
Lina mchanga laini
Lina kina cha mita 1470
........
Ila huko Kigoma haupoInapendeza sana
Huo mchanga mkubwa hata Z. Victoria upo baadhi ya sehemu hata kule kijijini kwa Babu niliuona
Ahsante mkuu
Ndio mkuuHuko unakosema ndio kuna milima mingi sivyo?
Shukrani mkuu1/Lake Baikal
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........
Sio hiiMkuu hii ni kama iliwahi kuwa avatar yako
Mondray atajazia humuZiwa Nyasa kuna vidagaa vikubwakubwa vinaitwa usipa ni hatari wanakaangwa au kupikwa km wali
Wenyeji hupendelea zaidi kula kwa ndizi choma/mcgemsho/kukaanga
....
Kamu zis wei[emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]