Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hapana mkuuMkuu hii ni kama iliwahi kuwa avatar yako
Tembo wangu aluvaa suruali mlegezo style alikuwa anakata mauno niliiacha 7bu ilikaa kishigashoga
........
Hapana mkuuMkuu hii ni kama iliwahi kuwa avatar yako
samahani mkuu naomba nikurekebishe kidogo kwenye hilo ziwa, hilo ziwa halipo juu ya mlima ila ukitaka kufika ni lazima upande milima kama miwili hivi, then ukifika juu ya mlima ndio unaliona kwa chini, ukitaka kufika ni lazima ushuke tena unakua kama unashuka mlima,Hilo Ziwa ni crater lake yaani lipo juu ya Mlima halafu hakuna mto unaoelekea wala kutokea huko
Lina tope sana ndo sababu kulihusisha na ushirikina kudai linameza watu wakati siyo kweli bali inatokana na kutokuwa na fukwe/beach hivyo ukiingiza tu mguu ni balaa
Rekodi yake pekee ninayoijua ni kwamba ni Crater Lake maarufu Tanzania
......
Hapana,kumbuka EPL hawapumziki, pia timu za EPL zinauwezo wa kusajili na kulipa mishahara wachezaji, kwa sababu ya gawio la EPL la haki ya matangazo, timu nyingi sana zinawekeza EPL zaidi sababu ya kipato, kitu ambacho Spain, German na Italian hakipoYah ni kweli mkuu, ndio maana wakiwekwa na timu zingine toka ligi tofauti hawafiki popote
Hajambo, wa upande huo jeshemelaa hajambo
Asante kwa madini![]()
Hilo Ziwa ni crater lake yaani lipo juu ya Mlima halafu hakuna mto unaoelekea wala kutokea huko
Lina tope sana ndo sababu kulihusisha na ushirikina kudai linameza watu wakati siyo kweli bali inatokana na kutokuwa na fukwe/beach hivyo ukiingiza tu mguu ni balaa
Rekodi yake pekee ninayoijua ni kwamba ni Crater Lake maarufu Tanzania
......
OooooohDadii akee shikamoo
Mwinuka zhezeumeitika kama babu yangu wa kisambaa
hahahhh hongera shemela na mm unipe pongezi bas ya man u
jana niliangalia mpira wa barcelona na real madrid yule messi jamaan mm ni team ronaldo acha nimpe pongezi messi midevu dk ya 92 mpira uishe kafunga la 3

Langaiiii
Upo sahihi mkuusamahani mkuu naomba nikurekebishe kidogo kwenye hilo ziwa, hilo ziwa halipo juu ya mlima ila ukitaka kufika ni lazima upande milima kama miwili hivi, then ukifika juu ya mlima ndio unaliona kwa chini, ukitaka kufika ni lazima ushuke tena unakua kama unashuka mlima,
ni kama vile limezungukwa na mlima na hakuna njia ya kufika bila kupanda milima, lina ramani ya afrika na kamsitu katikati, usiombe uende kipindi cha mvua utajuuta, nishawahi fika huko
Upande upi huyoInapendeza sana
Huo mchanga mkubwa hata Z. Victoria upo baadhi ya sehemu hata kule kijijini kwa Babu niliuona
Ahsante mkuu
Ripotiii au nikufutee kaziii amuaa mojaahabar za saiv familia yangu
nawamisi sana aisee![]()
![]()
![]()
![]()
Mchanga wake uko vipi?Ila huko Kigoma haupo
.......
miss u moree hun naumwa baby ujueOoooooh
Nimekumisiiii mama anguuu kipendaa rohoooo
Sijuiii nisweemeeeejeee

Mmmmmhnimeingia jioni hiii tu shemela flue tu imenibana
Hajambo, wa upande huo je
kaka angu shikamooAsante kwa madini
Na watu kuiibaHapana mkuu
Tembo wangu aluvaa suruali mlegezo style alikuwa anakata mauno niliiacha 7bu ilikaa kishigashoga
........
Sema jana ndo nimeona nilichokimis kwa toureunajua pep alivoanza man city ilikua inacheza mpira mzuri sana, baadae naona nae kaamua kuadopt butua butua kama timu zingine.
Nilipata kupita panatisha sanaNdio mkuu