6/
Lake Malawi
Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa
Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706
Umewahi kula usipa?
Wanapatikana huko...kwanini Wanyaki wasinenepe
........