Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1953 - Waziri Mkuu Winston Churchill anapewa wadhifa wa kifalme wa kuwa " Sir " na Malkia Elizabeth wa II.
526ec0c654a34afebf945566e505b46a.jpg
76447830e682082e643d4e43e7ec3be0.jpg
b459a1f9a0a9e921fc62f261ccda658f.jpg

Hiyo nukuu inatufundisha kupotezea mambo ya kipuuzi puuzi ili kuweza kutimiza malengo yetu ya maana ...ujumbe ungefaa umfikie Sizonje apunguze kupaniki
 
KINYWA CHAKO KIJAZWE NINI ILI KUMTUKUZA MUNGU NAKUWATIA MOYO WENGINE

ZABURI 71:8

Kinywa changu kitajazwa sifa zako,Na heshima yako mchana kutwa.

Tunapoianza siku mpya na wiki mpya hebu vinywa vyetu vijazwe furaha,upendo,uponyaji tunene maneno ya kuinuana na kumsifu Mungu kila wakati.

Tuwe waponyaji ,wafariji,watia moyo tukitamani kuona kila mtu anafurahia uumbaji na anauishi upendo...

Haijalishi unapitia changamoto gani..mahali hapa pawe faraja na nafasi ya kujiona kuwa unayosababu ya kuendelea kuwepo na kufurahia baraka tele Mungu anazotujalia

Vinywa vyetu vijazwe sifa na heshima kwa Mungu Baba ili duniani pawe mahali pazuri pa kuishi na kuwasaidia wengine wajisikie vizuri.



Tunakushukuru Mungu kutufikisha umbali huu hakika wewe ni Ebenezer,

Umetutoa mbali na hujawahi kutuacha wakiwa.

Asante kwa siku ya leo na wiki inayoanza leo tembea pamoja nasi.

Tunaomba kibali chako katika kila jambo tutakalotenda,Tupe kauli njema,tupe Roho ya Upendo,na kunyenyekea mbele zako.

Tuweke mbali na kuonewa,magonjwa,chuki,mikosi,hila na ajali mbaya.

Tupe ujasiri Amani na Imani katika Kristo Yesu kupitia jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen


WIKI NJEMA
KAZI NJEMA
JUMATATU NJEMA
MBARIKIWE
Asante mtumishi
 
1980 - Askari 8 wa Marekani wafariki wakati walipokuwa wanaenda kwenye Operation Eagle Claw ya kuokoa mateka waliokuwa wanashikiriwa huko Iran baada ya ndege yao kudondoka huko jangwani.

Katika Operesheni hiyo, wamarekani walipoteza vibaya operesheni hiyo na kusababisha Rais Jimmy Carter kubwagwa chini kwenye Uchaguzi Mkuu uliofata.
 
1980 - Askari 8 wa Marekani wafariki wakati walipokuwa wanaenda kwenye Operation Eagle Claw ya kuokoa mateka waliokuwa wanashikiriwa huko Iran baada ya ndege yao kudondoka huko jangwani.

Katika Operesheni hiyo, wamarekani walipoteza vibaya operesheni hiyo na kusababisha Rais Jimmy Carter kubwagwa chini kwenye Uchaguzi Mkuu uliofata.
1a0e225205d85b3bae262e7d8b548e79.jpg
1995853e15293ff1a752080042590632.jpg

Wamarekani wanapenda vita
...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom