Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo Katika Historia:
1953 - Waziri Mkuu Winston Churchill anapewa wadhifa wa kifalme wa kuwa " Sir " na Malkia Elizabeth wa II.
1955 - The Bandung conference: Mataifa 29 ya Asia na Africa yanamaliza mkutano wake na kuazimia kuanzishwa kwa umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote. ( NAM )
Subiri tuUshindweeeee
Asante mtumishiKINYWA CHAKO KIJAZWE NINI ILI KUMTUKUZA MUNGU NAKUWATIA MOYO WENGINE
ZABURI 71:8
Kinywa changu kitajazwa sifa zako,Na heshima yako mchana kutwa.
Tunapoianza siku mpya na wiki mpya hebu vinywa vyetu vijazwe furaha,upendo,uponyaji tunene maneno ya kuinuana na kumsifu Mungu kila wakati.
Tuwe waponyaji ,wafariji,watia moyo tukitamani kuona kila mtu anafurahia uumbaji na anauishi upendo...
Haijalishi unapitia changamoto gani..mahali hapa pawe faraja na nafasi ya kujiona kuwa unayosababu ya kuendelea kuwepo na kufurahia baraka tele Mungu anazotujalia
Vinywa vyetu vijazwe sifa na heshima kwa Mungu Baba ili duniani pawe mahali pazuri pa kuishi na kuwasaidia wengine wajisikie vizuri.
Tunakushukuru Mungu kutufikisha umbali huu hakika wewe ni Ebenezer,
Umetutoa mbali na hujawahi kutuacha wakiwa.
Asante kwa siku ya leo na wiki inayoanza leo tembea pamoja nasi.
Tunaomba kibali chako katika kila jambo tutakalotenda,Tupe kauli njema,tupe Roho ya Upendo,na kunyenyekea mbele zako.
Tuweke mbali na kuonewa,magonjwa,chuki,mikosi,hila na ajali mbaya.
Tupe ujasiri Amani na Imani katika Kristo Yesu kupitia jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen
WIKI NJEMA
KAZI NJEMA
JUMATATU NJEMA
MBARIKIWE
Morning mondrayMoooooorning wakuu mko pwoaaaa
Hbr yako mkuuSubiri tu
Nawe piaSiku njema
Upo hapoAsante mkuu maana nimewaza nikafika mbali sana
Nipo napatikanapo hapa kwa mwakasakasyukaUpo hapo
This is not fair, ita7bisha uzi uwe doro!!!Anawasalimia pia..
Nasikia huku watu hawapendi story za mapenzi tena..
1980 - Askari 8 wa Marekani wafariki wakati walipokuwa wanaenda kwenye Operation Eagle Claw ya kuokoa mateka waliokuwa wanashikiriwa huko Iran baada ya ndege yao kudondoka huko jangwani.
Katika Operesheni hiyo, wamarekani walipoteza vibaya operesheni hiyo na kusababisha Rais Jimmy Carter kubwagwa chini kwenye Uchaguzi Mkuu uliofata.
Wanaharibu!!!Hilo katazo sijaliona na inaonekana watu wameanza kupangiwa cha kupost basi watabaki peke yao maana maisha ni pamoja na mapenzi
Who's that.....kama namhisi mtu fulaniMimi mtu kanifuta pm ,
Kasema mapenzi peleka mmu..
Aache Udwanzi!!!.....atakuwa hana coupleMmmmh, kwa hiyo huku tupost nini sasa? Vita?