Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Pamoja bhinamuuulee empire asante kwa magazeti
Pamoja bhinamuuulee empire asante kwa magazeti
Ubingwa unaukosaMtaipendaaa tuuu
Poa kabisa, kumekucha tena na mpambano mwingine wa maishaNiajee jembe languuu
Moooooorning wakuu mko pwoaaaa
Mie sijakumiss hata kidogoNimekumithiiii mpendwa

safi kiongozi kwema???makapuku habar za usubuhi
Tuko poa sijui ww mondrayMoooooorning wakuu mko pwoaaaa


Njema za uzimamakapuku habar za usubuhi
Nawe piaSiku njema
Morning uwe na siku njema ubarikiweMoooooorning wakuu mko pwoaaaa
Shukran kwa nukuu za asubuhiNUKUU YA LEO
Those who fight corruption should be clean themselves
Watu wanaopambana na Rushwa wanapaswa kuwa wasafi
![]()
Hayo yalipata kutamkwa na Rais was wa sasa wa Russia Bw. Vladimir vladimirovich Putin aliezaliwa 7/10/1952 katika jiji la Sait Petersburg nchini Russia.
Kitaalauma Putin ni mwanasheria na alihitimu shahada ya sheria chuo kikuu cha Sait petersburg mwaka 1975.
Putin alikuwa ni afisa usalama wa Russia Komitet Gosudarstvennoj Bezopasnosti (KGB) kwa miaka 16 .
Amefanya kazi kama afisa usalama wa kimataifa, majukumu yake mengi yalikuwa ni ya kushuligha na nchi za kigeni..
Mwaka 1991 Putin alianza siasa Rasmi akiwa na cheo cha luteni Kanali wa KGB.
Putin amekuwa Waziri mkuu na Rais wa Russia kwa nyakati 2 tofauti kwa kila cheo..
![]()
![]()
![]()
Uongozi wake wa kwanza mwaka 2000-2008 ulikuza uchumi wa Urusi na kuongeza purchasing power kwa 72%
Putin anaamini Rushwa ni adui wa haki, ukipagana kuondoa Rushwa lazima uwe msafi kwanza.
Putin anafahamika kwa uongozi makini huku akitaka Urusi iwe taifa lenye nguvu zaidi duniani japo ukweli unabaki kuwa marekani ataendelea kuleta changamoto kwa urusi .
Hata Tanzania tukitaka kupambana na Rushwa, basi wale tunapambana nayo tuwe na mikono safi..
Gooodmorning.
ZABURI 71:8
Tunapoianza siku mpya na wiki mpya hebu vinywa vyetu vijazwe furaha,upendo,uponyaji tunene maneno ya kuinuana na kumsifu Mungu kila wakati.
Tuwe waponyaji ,wafariji,watia moyo tukitamani kuona kila mtu anafurahia uumbaji na anauishi upendo...
Haijalishi unapitia changamoto gani..mahali hapa pawe faraja na nafasi ya kujiona kuwa unayosababu ya kuendelea kuwepo na kufurahia baraka tele Mungu anazotujalia
Vinywa vyetu vijazwe sifa na heshima kwa Mungu Baba ili duniani pawe mahali pazuri pa kuishi na kuwasaidia wengine wajisikie vizuri.Hilo katazo sijaliona na inaonekana watu wameanza kupangiwa cha kupost basi watabaki peke yao maana maisha ni pamoja na mapenzi
Mkuu kweli hii ni hatari kama watu wamesha anza kupangia watu cha kupost na hii itaanza kutufanya tujikute tunazungumzia siasa ambayo inaleta chuki kuliko mapenzi
Hakuna kitu km hichoSizani kama ni kweli