Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,635
Asante mkuu nawe piaUsiku mwema Makapuku tuwe na wiki njema
We tim gani?Tusikimbiane timu yako ikifungwa
Kopy mkuuthawa afande
Mbona mapema sanaUsiku mwema Makapuku tuwe na wiki njema
HahahaaaaaaaKuaga kwenda kulala na kwenda kusinzia ni vitu viwili tofauti😀
Hapa nawaaga wanaolala saa hizi, mimi nasubiri marudio ya soka
Weka wazi upande wako tujueTusikimbiane timu yako ikifungwa
Nawe piaUsiku mwema...
We tim gani?
Nawe mkuu msalimie sakayoUsiku mwema...
Weka wazi upande wako tujue
Madrid mbona wanaonekana wamepaniki sanaHadi dakika ya 90 Madrid washindi ndo inakuwa timu yangu
RMAWewe umeweka wazi kwani, RMA
Anawasalimia pia..Nawe mkuu msalimie sakayo
Mi hapo naangalia matokeo tu sina timu
Nani tena amekatazaAnawasalimia pia..
Nasikia huku watu hawapendi story za mapenzi tena..
Nimekupata mkuu, nimekaribiahivi mtu akikukaribisha unakuwa mgeni ehh? 😀 😀
Watu wanataka story za kuelemisha misha tuu mkuu..Nani tena amekataza
Je wanataka story gani