ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Mimi ndiyo mana natafuta mwingine.We umeshaongeza???
Cc mchungaji wa nzi jambilo naona umepata dili mpya ya kufundisha ndoa
Mimi ndiyo mana natafuta mwingine.We umeshaongeza???
Cc mchungaji wa nzi jambilo naona umepata dili mpya ya kufundisha ndoa
Poa sanaaapowa, za kwako?
jambilo kazidi...nahisi hata huo upako wa utumishi kauopoa kuzimu.Basi mpe Nahrene jambilo kisha we ubakie na Patience123 ili wote mridhike, mana mna tamaa ya kila mnachokiona
Ndio ndio mkuu ..Mkuu kumbe uko chuga!!
Aisiiiiiiiii!!!Ndio maana nachumbia upya mchumba wa jana simkumbuki, jimena nakuhitaji uwe wangu
Kwani nawee nikama mimi
Karibu mkuu namii nimekaribishwa
Jisikieni huru kabisa, msiwe na shaka.Alaa kumbe. Wenyeji ni wakarimu sana
Ndiooaiseee
We mwanamke mbonna huna msimamo, umenishawishi nimuache mke wangu alafu unaanza kuleta habali nyeusi huku.Nimeamka salama lov ,vipi ww?
Hukosa vyoteeeeeMtaka yote...
Mkuu umekuja, nilikuhonga gari jana ukakimbia nimeanza kuhangaika upya bhanaAisiiiiiiiii!!!
Vigezo unavyo lakin?Ndioo
Aisee bro afadhali umerudi, shemeji alikuwa ananishawishi tufanye mambo ya ajabu sana.Kwa kupenda wake za watu. Nitakutoa kispora kijana
Huyu we anakutaka na mchungaji pia wanatakana pia,We mwanamke mbonna huna msimamo, umenishawishi nimuache mke wangu alafu unaanza kuleta habali nyeusi huku.
Naomba maelezo plzNimeamka salama lov ,vipi ww?
Mtalaka upo!Ndioo
Hahahahahaha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi team kuruka ila hapa sijaruka mzeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Za humu ndani honeyMiss u more babe!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tumesalimiana kwa busu takatifu usiogope,ila jana hukutangaza nia .... dada Yako Jimena full kukuchunga.We mwanamke mbonna huna msimamo, umenishawishi nimuache mke wangu alafu unaanza kuleta habali nyeusi huku.
Jisikieni huru kabisa, msiwe na shaka.
Team Makapuku imejaa furaha na amani.