Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Au punda afe mzigo ufike.ni sawa na afe kipa afe beki...
Au punda afe mzigo ufike.ni sawa na afe kipa afe beki...
Hata naye simtaki Wangu anakuja stay tuned tusirogane tu....Tena naomba uniache nenda kwa huyu mchungaji wako jambilo
kwahiyo hili jimbo halina mgombea kumbe?Wote wamepiga chini now am free molecule sitaki mume wa mtu. ..............
We ni mwanamke wa shoka, unajua kuwork hard na pia kuwalk away. Lap uHaleluyaaaaaaa!!!!! Ameeen kilichounganishwa na mwenyezi mwanadamu asikitengue, better mimi everlenk sijawa sababu ya ndoa Yako kuvunjika.......
kama ameshindwa kujiombea, hao wanaomfuata wakakuwa makondoo wasiojitambuaHivi ataweza kweli kunena kwa lugha? Poor kondoo wake![]()
Anafuatilia mpambano cjui anamloga jimena!Tena naomba uniache nenda kwa huyu mchungaji wako jambilo
Mkuu nakushauri usiguse huu umeme utakufa.kwahiyo hili jimbo halina mgombea kumbe?
Lap u too.......We ni mwanamke wa shoka, unajua kuwork hard na pia kuwalk away. Lap u

Simtaki tena,nimeamua kurudi home.Sa mbona unamtimua fasta hivyo![]()
![]()
Simamia showkwahiyo hili jimbo halina mgombea kumbe?
hahahahah kweliAu punda afe mzigo ufike.
Naona jimena ameanza kukushobokea,mkazie unaweza ukaopoa goma.mkuu mbona najitahidi kutoa likes
Kwahiyo wewe ndo unaewafikisha??
vibaya ndo vitamu mkuuMkuu nakushauri usiguse huu umeme utakufa.
Sio kondoo ni nzi tukama ameshindwa kujiombea, hao wanaomfuata wakakuwa makondoo wasiojitambua

Hahaha....Akikupitia tena naomba muende nae bahari ukazame kabisa
Hataweza.... Ximena ni anti uchawiAnafuatilia mpambano cjui anamloga jimena!
alaaa kumbeNaona jimena ameanza kukushobokea,mkazie unaweza ukaopoa goma.
Uwe na msimamo basiSimtaki tena,nimeamua kurudi home.
Hata wenyeji wamepunguza kabisa ushirikiano.Wageni mtoe na likes sasa maana siwaelewi