Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
AiseeOh, yeah, tunaongelea ABV 5.8%
AiseeOh, yeah, tunaongelea ABV 5.8%
OK. Kumbe mmechukuliana mabwana? Hilo ni jambo la kawaida. Mlinzi mwenyewe (Shedede) naye mchovu. Angekuwa anaifanya kazi yake kwa weledi hizi kasheshe wala zisingetokea...Vale anamtaka baby wangu
hatujachukulianaOK. Kumbe mmechukuliana mabwana? Hilo ni jambo la kawaida. Mlinzi mwenyewe (Shedede) naye mchovu. Angekuwa anaifanya kazi yake kwa weledi hizi kasheshe wala zisingetokea...
kila mtu na starehe yake huninunulii we tusipangiane we endelea kunywa thoda![]()
Mimi sijabobea kwenye siasa kivile. Huwa naenda huko mara moja moja kuchokoza watu na wakianza kutoa mapovu natimka kabla sijatandikwa ban. Huku Makapuku ni raha mstarehe tu na kushuhudia watu wakitongozana na kunyegeshana laivu...well, si sana kivile japo SHIMBA YA BUYENZE kabobea kwenye siasa sana wakati mwingine namimi nishajitoa huko



Atarudi tu dogo janja soonOhooo umesahau ile... ya 2 siku ile.
Mimi sijabobea kwenye siasa kivile. Huwa naenda huko mara moja moja kuchokoza watu na wakianza kutoa mapovu natimka kabla sijatandikwa ban. Huku Makapuku ni raha mstarehe tu na kushuhudia watu wakitongozana na kunyegeshana laivu...![]()
Hahahaha mkuu roma ametekwa ila raia tunasema amejiteka...lahashaRoma kasema wapeleke difenda kabebwa na Noah
Kabisa mkuu, unataka ukafaidi mateso peke yakounataka kwenda kwa toto tundu au?
Mimi simfikii Obe. Huyu ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja akiamua. Sema tu JF ya sasa ni ya hovyo hovyo tu siyo enzi zile za akina Mzee MM, Kiranga na great thinkers wengine ambao sasa wamepotea. Sasa hata utoe hoja nzuri namna gani nobody cares sana sana ndo utaishia kuitwa nyumbu au fisiemu.Tone zenu za uandishi zinafanana
Lete ubuyu mkuuNakuona.....Nakuona![]()
Mithali 18
Mbali kolomije mkuuWakuu maombi yenu kwangu kesho nasafari ndefu humu humu nchini ....
Natanguliza shuklani za dhati kwa mungu na kwa wote wanakapuku!!
Uwe na safari njemaWakuu maombi yenu kwangu kesho nasafari ndefu humu humu nchini ....
Natanguliza shuklani za dhati kwa mungu na kwa wote wanakapuku!!