shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hahahaaaaaaa shemela umetishasawa binamu nilijua nadili na kitime
Hahahaaaaaaa shemela umetishasawa binamu nilijua nadili na kitime
Uvuvi mwemaSiyo wanakaribia billioni 1.3 Bali tayari Wachina wapo 1,388,262,693 kufikia March 2017
Na mwezi buu wameshazaliana tena
![]()
![]()
![]()
![]()
Napumzika
Tukutane kesho
..........
sawa binamu nilijua nadili na kitime
Poa kaka, potea wewNzuri mkuu, vip pande hizo
ulisema kweli shemelaCc shemela shunie
Gitaa linapigwa mtu unafeel
Ati nini?haujaelewa anaetaka kufanya mapinduzi n vale ambae Nyani Ngabu ni baby wako nilikua namuelewesha msukuma
Ndiye aliyeimba wimbo huu.
sawa kalaleObe bando la jiti leo sitaangalia video..
Hahaa tuko pamoja.
Hivi shimba na obe ni mtu mmoja
hahahhh shemela acha tu nilitaka nijiridhisheHahahaaaaaaa shemela umetisha
Ha ha hahhahha, umenifanya nicheke sana. 😀


au binamu unanificha niwe nakuja njenje kukuona
Your girlfriend sends you her completely naked picture on her bed... We Na ufala yako unaaanza kuwika wow wow kama Ambulance ya Amana.. eti you look sexy babie... Badala ya kuuliza Nani alimpiga picha..
Waiter naomba mbili zingine za baridi tafadhali..





Vale anamtaka baby wanguAti nini?
Asante binamu
Asante binamu
nitajitahidi binamu niitafutePamoja sana,
Nashukuru kwa asante, kama umeipenda hii ya Africa jitahidi umtafute mmoja anaitwa Baaba Maal, msenegal huyu wimbo unaitwa African woman