Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Km sisimiziAisee wako wengi
....
Km sisimiziAisee wako wengi
Umepotea sana mkuuKiongozi vp
Umepotea sana mkuuKiongozi vp
Nakuona.....NakuonaNi pouwa sana chief

Oooooh umenikumbusha movie moja ya kanumba hope ni devils kingdom kuna sentensi alisema huwa sihisahau ...fearing of something means you worship it....sema Siku hizi bongo movies wamekuwa vibaraka wa fisiem

Balaa la Ulimwengu3/Marekani
![]()
Hili Taifa jeuri linaloongozwa na kivhaa Trump lina idadi ya watu Milioni mia tatu ishirini na sits na laki NNE(326,400,000)
Ni Taifa lenye majivuno likiamini bila wao hakuna duniani.limetawala kisiasa, uchumi n.k
Linapenda vita balaa
.....
Wazma huku wapendwa?
Muwe na usiku mwema..

Ndo mm bossMzee mnyapiajii
Duuh!!! Us milioni mia tatu na ushee then unachupa mpaka B!!!2/IndiaWahindi wanapenda ngono balaa, pia wanasifika kwa uchafu usishangae kuwakuta bararani huko Mumbai wakishusha tu kojo kwa raha zao![]()
Kasi yao ya kuzaliana ni kama panya
Wapo Bilioni moja, milioni mia tatu arobaini na mbili na laki tano(1,342,500,000)
Wazee wa bajaji
.....
.....najua Shung shwan atakuwa top!!!
Namimi nisijue labda .. .Shunie asijue lakini
Kuna gap kubwa kati yaoDuuh!!! Us milioni mia tatu na ushee then unachupa mpaka B!!!.....najua Shung shwan atakuwa top!!!
Utu tumjamaa achana kabisaa ...wengii balaa1/China
![]()
Hawa macho madogo wapo takribani Bilioni moja, Milioni mia tatu themanini na nane na laki mbili[1,388,200,000)
Wanasifika kwa uchapakazi na kuzalisha bidhaa feki.ndio Taifa linalotishia uchumi Wa Marekani kutokana na ukuaji wake
Wamepunguza kasi ya kuzaliana hivyo sio ajabu wakipitwa na Wahindi
Mwisho
.........
Sijambo auntie, pole kwa kuchelewa kujibu. Adolph Mbinga , bwana mzuzu yeye alikuwa akipiga gitaa la solo, upigaji wa solo unakuwa ni pale mpigaji anapiga mtindo mmoja tu bila kubadili au kuingiza mipingo mingine.Binamu shikamoo hivi Adolph mbinga anapiga gitaa gan na shakashia sijui shakazulu
shemela miss u za wwMzee wa kambale niaje
hahahhh kwahiyo mm hauniaminiMwajili wangu yuko wapi nataka kusikia hayo maneno akiyatomboka yeye