Kama leo hiviLOL! Njenje wenyewe nimewahi kuwaona mara kama mbili tu, kiingilio chao kikanitisha nikaona niwe naenda kuangalia bakulutu huku nakula bia
Weka yako ilee ya gariAsubuhi ya leo nimekutana na Chaplin wawili same avatar nikaona isiwe kesi bado natafuta avatar mpya
Kisa ni nini mpaka ukajitoawell, si sana kivile japo SHIMBA YA BUYENZE kabobea kwenye siasa sana wakati mwingine namimi nishajitoa huko
Kama leo hivi
Ka Toyo ka ndani wao wanaita boxa..teh kwahiyo ukabaki na nn
Acha utumiaji wa vileo...beer 3 ila binamu ukiwa njenje unaenjoy sana unaona hela yako imeenda kiuhalali yaan
Sawa mkuuOkay, nimekupata. Ndo maana mimi nimedumu na hii mwaka wa ngapi sijui leo
Gari gani tenaWeka yako ilee ya gari
Au weka ile ya kiduko..
hahahhh binamu unanunua 3 unapewa 3 tena n balimi nn hizoLeo na hivi mfungo umeisha, unanunua tatu unapewa tatu za promotion. Nishanunua 12, jumlisha na za promotion mwenyewe tusiitane walevi nasubiri sala ya BlessedHope
hapo sawaKa Toyo ka ndani wao wanaita boxa..
Kiduko => KidukuWeka yako ilee ya gari
Au weka ile ya kiduko..
Kisa ni nini mpaka ukajitoa
kila mtu na starehe yake huninunulii we tusipangiane we endelea kunywa thodaAcha utumiaji wa vileo...

Ohooo umesahau ile... ya 2 siku ile.Gari gani tena
Akuuu mm kilevi changu ni maziwa na chuchu za wanawake...kila mtu na starehe yake huninunulii we tusipangiane we endelea kunywa thoda![]()
hahahhh binamu unanunua 3 unapewa 3 tena n balimi nn hizo
hongeraAkuuu mm kilevi changu ni maziwa na chuchu za wanawake...