shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
TofautiHahaa tuko pamoja.
Hivi shimba na obe ni mtu mmoja
TofautiHahaa tuko pamoja.
Hivi shimba na obe ni mtu mmoja
Jibu ametoa lakinihahahhh shemela acha tu nilitaka nijiridhishe
Tone zenu za uandishi zinafananammmmh, hapana Shimba ni wa Buyenze na Obe ni Obe
kwanini umeuliza hivi?
Umenichekesha hadi msuli umenivuka ukaanguka aiseesawa kalale
Nishajitoa timu popo mm.Huyu kulala labda umpulizie Chloroform, ndo atalala
au binamu unanificha niwe nakuja njenje kukuona
MwazimeVale anamtaka baby wangu
hahahh binamu elf 10 tu jamaan imekukimbizaLOL! Njenje wenyewe nimewahi kuwaona mara kama mbili tu, kiingilio chao kikanitisha nikaona niwe naenda kuangalia bakulutu huku nakula bia
Ndiye aliyeimba wimbo huu.
hatamuwezaMwazime
Tone zenu za uandishi zinafanana
teh kwahiyo ukabaki na nnUmenichekesha hadi msuli umenivuka ukaanguka aisee
Halalagi kumbeHuyu kulala labda umpulizie Chloroform, ndo atalala
Nimemuelewa vizuri sanaJibu ametoa lakini
hahahh binamu elf 10 tu jamaan imekukimbiza
Asubuhi ya leo nimekutana na Chaplin wawili same avatar nikaona isiwe kesi bado natafuta avatar mpya...Mbona naona 'banned' au ni picha tu mnafanya kuizoea hii ndude?
Aisee, ikawaje kwa majiraniUmenichekesha hadi msuli umenivuka ukaanguka aisee
Asubuhi ya leo nimekutana na Chaplin wawili same avatar nikaona isiwe kesi bado natafuta avatar mpya
beer 3 ila binamu ukiwa njenje unaenjoy sana unaona hela yako imeenda kiuhalali yaanHa hahhahaha, ndo maana nilienda mara mbili tu
...unajua kila mtu huwa ana ka-SI unit kake, sasa hii 10k ni bia ngapi kwa mfano?