Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
kwema mkuuMkuu poa sana habari za muda
kwema mkuuMkuu poa sana habari za muda
Ndiyo nataka waniteke watakutana na kareti za kumfa mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23]watakuteka mkuu!
Mkuu bado hujaondoka,?mkuu hebu nipe info kidogo nataka kwenda huko nishakata tiketi tayari!
Pitia Malaysia, itakuwa rahisi kwakoUS 🙁 🙁
mkuu maneno unayatupa hayoNdiyo nataka waniteke watakutana na kareti za kumfa mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fanya na booking yangu kabisa mkuukwema mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uogamkuu maneno unayatupa hayo
bado mkuu [emoji23]Mkuu bado hujaondoka,?
Aisee wako wengi5/Brazil
Hii nchi kila mtu anajua mpira. Si mnamkumbuka JAJA.....Nchi hii imejaa wana wake warembo na fukwe za kupendeza![]()
Idadi kubwa ya watu ni wacha Mungu(wakatoliki) ndio maana wanetenfeneza kabisa sanamu la Yesu km mnara wao
Wapo 211,200,000[Milioni mia mbili kumi na moja na laki mbili)....
.....
nishakata tiketi mkuuPitia Malaysia, itakuwa rahisi kwako
Roma kasema wapeleke difenda kabebwa na Noah[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uoga
unataka kwenda kwa toto tundu au?Fanya na booking yangu kabisa mkuu
Sijui kama utatoboa kupitia USAnishakata tiketi mkuu
hahahaSijui kama utatoboa kupitia USA
Nampenda..Teh teh teh vale mkuu?? , mkuu bado unataka kufilisika?
Aisee wako wengi