BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
LoveMorning family
Muwe na siku njema
Nawapenda wote
you more mummy ubarikiweLoveMorning family
Muwe na siku njema
Nawapenda wote
you more mummy ubarikiweAsante naona umewaombea tayari ubarikiwe sanaAmen,
Tusisahau kuwaombea wasio na shinda na matajiri pia
HahahaUmeshindwa kulala sio eeh?
Mkuu kwema?
Mie zaidi jamani kakaNakupenda sana
AminaLoveyou more mummy ubarikiwe
Goodmorning chief, habari ya wewe na familia yako, ahsante kwa kufungua mjadala na magazeti.....Wakuu kumekuchaa salama...
Magazeti ya Leo .....![]()
Nawe pia kuwa na siku njema, vipi cheupe hakai nyumba moja na wewe?Wakuu tuwe na Siku njema ...
Shunie cheupe wangu nakumis mama watoto ...
Nilileta matokeo....wewe mida yako ni ipi kama umejitokeza saa hizi
Nilileta matokeo
Debe elfu 30 hii ni mbaya sana
UbarikiweeMagazeti:
Mwanachi: hivi Mtei yupo?
Mtanzania:Njaa ipo kila kona inaongelewa kisiasa sana Mungu atusaidie.
Nipashe:Mpaka watu waombe ajira nje ndio ajira za ndani zinatoka-Tanzania yangu inakwenda wapi?kumbe ajira zipo?
CAG. CHAPA KAZI
Tanzania Daima:BASHITE ni nani?hata mimi natamani kumjua hua sielewi.
Uhuru: bodaboda utekaji unapoteza vijana wengi,tunazika kila siku
Mawio :Natamani umeme wa Ethiopia uje ,nadhani tutapumzika
Lee empire asante kwa magazeti na facts ubarikiwe uwe na siku njema
Maajabu kweli kweli
Pamojaa sana chief kwa kuyapitiaaShukran kiongozi kwa magazetii
Asante bhinamuu
AmeeeeeeeeniiiiiiHESHIMA
1 PETRO 2
17 Waheshimuni watu wote .wapendeni ndugu Mcheni Mungu.Mpeni heshima Mfalme.
Heshima,Utii,Upendo ni tabia ya kimbingu Tumerithi kutoka kwa Yesu Kristo.Alitii hadi mauti ya msalaba .
Bila Upendo ni ngumu kuonesha Heshima na Utii wetu kwa Mungu na ndugu zetu pia
Mtii Mungu kupitia Tabia yako,lugha zako,mavazi yako,,mienendo,mawazo,muda wako,mali yako,jamii inayokuzunguka
Usione aibu kumtangaza Mungu kisa watu watakuonaje,lazima watu waheshimu msimamo wako kwa Mungu wako,Mungu wetu ni mwema anatupenda sanasana na kutupigania
Tuombe:Mwenyezi Mungu Baba wa Mbinguni asante kwa kutufikisha umbali huu na kutuamsha salama,tunaomba ututakase makosa yetu yote,Bariki kazi zetu zote za mikono yetu siku ya leo,tupe kukupenda wewe kwa moyo,nguvu na akili zetu zote .Siku ya leo ifanye iwe baraka tukuone wewe.
Tunawakumbuka wasafiri,wafiwa,wagonjwa,wanafunzi,watoto,wazee , makapuku wote na wenye shida mbalimbali .Asante Baba kwa maana utatenda.Amina
MBARIKIWE
Wakuu tuwe na Siku njema ...
Shunie cheupe wangu nakumis mama watoto ...
Morning shemMorning family
Muwe na siku njema
Nawapenda wote
hahaha shukran na ww piaPamojaa sana chief kwa kuyapitiaa
Ugufurikajii mwema mkuu
Baba paroko asante ...uku lazima kwanza tuyapitie mapema mkuuGoodmorning chief, habari ya wewe na familia yako, ahsante kwa kufungua mjadala na magazeti.....