Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nimesafirii kidogooo parokooNawe pia kuwa na siku njema, vipi cheupe hakai nyumba moja na wewe?
Nimesafirii kidogooo parokooNawe pia kuwa na siku njema, vipi cheupe hakai nyumba moja na wewe?
Asante kwa matokeo Nyagei ubarikiwe siku njema
Pole,usingizi ukikata usiku omba omba omba muda wa usiku ni mzuri sana kuomba utapata mengi sana kupitia maombi ya usiku

Asante kwa update nikicheki marudio ntachambua jana nilitingwa![]()
![]()
![]()
Kwa UF na magazeti
Na kwako pia
Uko poa lakini chief ??hahaha shukran na ww pia
Niko poa kiongozi wangu sijui ww na waubavuni?Uko poa lakini chief ??
Nilileta matokeo
...na mimi nilikuja kuyasoma[/7QUOTE]
Bampa to Bampa 😀😀😛😛
Sababu na wao pia wanatumia akili nyingiThinkers..hapa tunashindwa kuwabaini wauaji ,na wanaendeleza mauaji
Morning love...Morning my love
Nakupenda
Uwe na siku njema
Hahaha..Hahaha
Sio kwa wivu huo jamani, mpaka kwa Kakangu
MorningMorning shem
Same to you hubieHahaha..
Have a great day
Anakula urojo huyoKama uko Mtwara, shangani Ijumaa ugonge vyombo, hela haina maana kama hainunui monde
Suala la ajira ni mtambukaMagazeti:
Mwanachi: hivi Mtei yupo?
Mtanzania:Njaa ipo kila kona inaongelewa kisiasa sana Mungu atusaidie.
Nipashe:Mpaka watu waombe ajira nje ndio ajira za ndani zinatoka-Tanzania yangu inakwenda wapi?kumbe ajira zipo?
CAG. CHAPA KAZI
Tanzania Daima:BASHITE ni nani?hata mimi natamani kumjua hua sielewi.
Uhuru: bodaboda utekaji unapoteza vijana wengi,tunazika kila siku
Mawio :Natamani umeme wa Ethiopia uje ,nadhani tutapumzika
Lee empire asante kwa magazeti na facts ubarikiwe uwe na siku njema
AmenHESHIMA
1 PETRO 2
17 Waheshimuni watu wote .wapendeni ndugu Mcheni Mungu.Mpeni heshima Mfalme.
Heshima,Utii,Upendo ni tabia ya kimbingu Tumerithi kutoka kwa Yesu Kristo.Alitii hadi mauti ya msalaba .
Bila Upendo ni ngumu kuonesha Heshima na Utii wetu kwa Mungu na ndugu zetu pia
Mtii Mungu kupitia Tabia yako,lugha zako,mavazi yako,,mienendo,mawazo,muda wako,mali yako,jamii inayokuzunguka
Usione aibu kumtangaza Mungu kisa watu watakuonaje,lazima watu waheshimu msimamo wako kwa Mungu wako,Mungu wetu ni mwema anatupenda sanasana na kutupigania
Tuombe:Mwenyezi Mungu Baba wa Mbinguni asante kwa kutufikisha umbali huu na kutuamsha salama,tunaomba ututakase makosa yetu yote,Bariki kazi zetu zote za mikono yetu siku ya leo,tupe kukupenda wewe kwa moyo,nguvu na akili zetu zote .Siku ya leo ifanye iwe baraka tukuone wewe.
Tunawakumbuka wasafiri,wafiwa,wagonjwa,wanafunzi,watoto,wazee , makapuku wote na wenye shida mbalimbali .Asante Baba kwa maana utatenda.Amina
MBARIKIWE
Maybe ni kovu limebakiMbona mstari upande wa healed umekua mkubwa zaidi?ndio kupona au sijaelewa
Heshima yako madamMorning family
Muwe na siku njema
Nawapenda wote
Shinda => ShidaAmen,
Tusisahau kuwaombea wasio na shinda na matajiri pia