Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
1971 - Sierra Leone yawa Jamhuri huku Siaka Stevens akiwa Rais.
Leo Katika Historia:
1948 - Burma yajiunga Umoja wa Mataifa.
1960 - Wanafunzi wanaandamana nchini Korea Kusini dhidi ya Rais wa Nchi hiyo Syngman Rhee wakidai demokrasia ipewe nafasi.
Rais huyo anakuja kujiuzulu baadae.
Asante mkuu

Lete habari, siku yako imeanzaje, hope ipo poaBaba parokoo
Nzuri mapankiihabari zenu???
Morning Victor wa happy![]()
Goodmorning
AmenTuombe:Mtakatifu Baba Mungu wetu ,tunajitakasa mbele zako siku hii ya leo tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo wengine hawakuweza kufika siku ya leo achilia kiu ya kukutafuta wewe siku zote tutenge na anasa nguvu za giza marafiki wabaya tunawaombea vijana wasio na ajira waliokata tamaa,achilia tumaini,achilia mipenyo ya ustawi katika ndoa, mahusiano biashara,maofisi ,familia Tunawaombea wasafiri wafiwa wagonjwa,wafanyakazi ,watoto, wajawazito ,wazazi, wakimbizi,wafungwa na wengine wote wenye mahitaji yao binafsi Tunashukuru Bwana maana unajibu maombi yetu yote shetani hana nafasi tena katika jina la Yesu Damu ya Yesu itutakase Karibu Roho Mtakatifu Msaada wetu siku zote za maisha yetu Amen![]()

You're in the right placeMakapuku is the place to be
Iko poa kabisa na jana ulivobariki kwa cheupe wanguu ...banasemaga hakuna matataLete habari, siku yako imeanzaje, hope ipo poa
1971 - Sierra Leone yawa Jamhuri huku Siaka Stevens akiwa Rais.
Anaendelea vizuri tu, simu ndio ilikuwa na matatizoJamani wapendwa mwenye taarifa za Mkubhi mara ya mwisho alikua anaumwa mguu ..anayewasiliana naye atujuze..Naomba Mungu aendelee kumponya![]()