Makapuku Forum

Makapuku Forum

2005 - Kadinali Joseph Ratzinger anachaguliwa kuwa Papa Benedicto wa 16.
eb7f9115b718e9d11c87ea06fd37c5a0.jpg
8333c60028ba292e3fe6744700646517.jpg
44dc41ebfe07993551ee6f7d2beb31e3.jpg

Sitaenda kanisani mpaka siku achaguliwe Papa mweusi
Kweli dini zimeletwa na meli ili kueneza tamaduni zao + kututawala
.....
 
KESHO YANGU NI NZURI

YEREMIA 29:11

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA,ni mawazo ya AMANI wala si mabaya ,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

[emoji117] Tukimtegemea Bwana katika Roho na kweli hakika kesho zetu zitakuwa zenye thamani sana mbele zake.
[emoji117] Usichoke ndugu Ebu kaza mwendo ,upate kufika mbinguni

[emoji117] Mungu wetu ni wa kila kitu.

Mungu atusaidie sana Tumpende ,Tumheshimu,Tumtegemee maana daima anatuwazia mema...mbarikiwe sana.[emoji120]
Amen
 
Back
Top Bottom