Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
sawa shem asante ubarikiweNi utaratibu wangu wa kupongeza kila baada ya post 1000
So relax shem
sawa shem asante ubarikiweNi utaratibu wangu wa kupongeza kila baada ya post 1000
So relax shem
saf za kwako za kupotea vip biasharaHabari zenu
Mpaka rohoni mwakooo.....Hupendi ehh niwakee, toa sadaka acha roho ya kwanini baba mchungaji ana maghorofa pitia sadaka zenu, toa ndugu toa ndugu ulichonacho bwana anakuona....
Paroko usiacheeI was fasting kwajili yenu kabisa hujadanganya, mwambie shunie nikiacha basi pepo watavuruga mipango yenu
Mpaka rohoni mwakooo.....
Osaaaanaaa osana ...osaanaaaah osana ×2

Aiseeeeeh biashara imekuwa taitii mpaka unatusahauHabari zenu
hahahhhMpaka rohoni mwakooo.....
Osaaaanaaa osana ...osaanaaaah osana ×2
Mama paroko anarukaruka ..tunamsaidiaje
baby hayo mapepo ya kuvuruga yashindwee kabisaParoko usiachee
Amina amina siachi kuweka maombi, sio vizuri kuruhusu pepo kuingilia ndoa za wana wa MunguParoko usiachee
Yes I am not the oneNyagei.... kuna jamaa mmoja nilisoma nae A-LEVEL TANGA USAGARA alijiita hilo jina mbaya zaidi alilipenda hilo jina kwasababu ya konyagi alikua anagonga konyagi sijapata kuona, tell me you are not the one i think...
atakubali tu si unajua haya mambo hayataki harakaMama paroko anarukaruka ..
Najuuuuuaaa ...Tom nimempata nilimuokota na kijerry chakeeemimi nimefanyaje tena babyme nakupenda tu yaan nakupenda tu
Amen shem wanesawa shem asante ubarikiwe
Katibu vipi ujenzi hapo Tazara?😀 😀 😀 😀
hahaha usiniambie umempataNajuuuuuaaa ...Tom nimempata nilimuokota na kibaiskel chakeee
🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
NyagiiiiiiNyagei.... kuna jamaa mmoja nilisoma nae A-LEVEL TANGA USAGARA alijiita hilo jina mbaya zaidi alilipenda hilo jina kwasababu ya konyagi alikua anagonga konyagi sijapata kuona, tell me you are not the one i think...
Nilikuwa nimefunga kidogo si unajua sikukuu hiisaf za kwako za kupotea vip biashara
Ohhh thats sad, okey dont go in details nisije haribu ur today's happinessYes I am not the one
Origin ya Nyagei ni from Uganda
Historia yake inasikitisha kidogo