Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Pole kiongozi ila na kumbuka kuna wimbo sikumbuki aliimba nani ila ulikuwa unasema UMSIKINI uliniponza nikakosa MKEUsawa huu wa baba jesca ubavu sina ulishachomoka ,
Pole kiongozi ila na kumbuka kuna wimbo sikumbuki aliimba nani ila ulikuwa unasema UMSIKINI uliniponza nikakosa MKEUsawa huu wa baba jesca ubavu sina ulishachomoka ,
Ileje ni vipi?Mkuu uko poa?
That's why I fall for you!!Kucheka...
1. You boost immune function
2. Improve well-being and positive attitude
3.Relaxing of muscles
4. Enhace memory creativity..
Keep doing that...you will see the big difference..
![]()
Cc: Avatar ya Transcend
saiv ni mchezaji wa kukodiwaKwa hiyo now ni self service![]()

hapo chawaShaka ondoa
Hahahaa....!Na ww upunguze ka wivu uwe unamuacha afanye kazi ,
Baba jesca si wa kispot spot
Eka maa..!Asante kwa nukuu mkuu uwe na siku njema
AmenTuombe:Mtakatifu Baba Mungu wetu ,tunajitakasa mbele zako siku hii ya leo tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo wengine hawakuweza kufika siku ya leo achilia kiu ya kukutafuta wewe siku zote tutenge na anasa nguvu za giza marafiki wabaya tunawaombea vijana wasio na ajira waliokata tamaa,achilia tumaini,achilia mipenyo ya ustawi katika ndoa, mahusiano biashara,maofisi ,familia Tunawaombea wasafiri wafiwa wagonjwa,wafanyakazi ,watoto, wajawazito ,wazazi, wakimbizi,wafungwa na wengine wote wenye mahitaji yao binafsi Tunashukuru Bwana maana unajibu maombi yetu yote shetani hana nafasi tena katika jina la Yesu Damu ya Yesu itutakase Karibu Roho Mtakatifu Msaada wetu siku zote za maisha yetu Amen![]()

We nawesasa kama hakitakiisha ukajikuta nacheka utasema nimejiunga halichachii![]()
![]()
inakuweje?
HahahaIn shunie' voice
![]()
Amen shem waneWanafamilia natumai mmeamka salama, ni jumatano nyingine iliyo kubalika machoni mwa Bwana. Tuitumie vyema nasi tutabarikiwa
Nakupanda pia mke wanguThat's why I fall for you!!
Nakupenda T
Ila nawazidiii nyooteee kwa my babyHahahaa....!
Mwenyewe nina wivu kwake...
Q chief yulePole kiongozi ila na kumbuka kuna wimbo sikumbuki aliimba nani ila ulikuwa unasema UMSIKINI uliniponza nikakosa MKE
Amen mama mchungajiKESHO YANGU NI NZURI
YEREMIA 29:11
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA,ni mawazo ya AMANI wala si mabaya ,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Tukimtegemea Bwana katika Roho na kweli hakika kesho zetu zitakuwa zenye thamani sana mbele zake.
Usichoke ndugu Ebu kaza mwendo ,upate kufika mbinguni
Mungu wetu ni wa kila kitu.
Mungu atusaidie sana Tumpende ,Tumheshimu,Tumtegemee maana daima anatuwazia mema...mbarikiwe sana.![]()
Hahaaaa!Ila nawazidiii nyooteee kwa my baby
🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
Ubhabha Mputi ikukupon-ya ukyala akutule nungweNdaga mndu gwa kyala ukyala akutule ubhe ni siku inunu
Umponye ubhabha mputi
Wivu Punguza maana najua huwezi uondoa huja automatically, am all yours!!!Hahahaa....!
Mwenyewe nina wivu kwake...
Salama tu kamandaHabari zenu makamanda
ila mkuu usizidi maana ukizidi ni shida hakuna litalofanyika mtabaki kutazamana kama umekutwa na uchawiHahahaa....!
Mwenyewe nina wivu kwake...