Makapuku Forum

Makapuku Forum

Waafrika sometimes yaani tupo kama wanyama. Huyu mama wanamchoma moto laivu kisa eti mchawi.
158478b33ef880da760cdd19003b42ad.jpg
 
Mume wangu kipenzi
Roho ya Sakayo
Sweet wa nafsi yangu
Barafu wa moyo wangu
Nyongo mkalia ini la Sakayo
Mwanaume wa ndoto zangu jamani, ni muda wa chai sasa nimekuandalia mtori hunie hali ya hewa si unaiona lakini..... Karibu chai...

Wana familia Karibuni chai.....
Asanteee!

Ndio natoka kwenda lunch now..though its late..

Let's go mama!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom