Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hajakiandika mwenyewe. Huwa anatumia ghost writers na wengine wamemshtaki kwa kutowalipa; na mawazo mengi yaliyomo katika vitabu hivi mara nyingi ni common sense tu (kama ya Shigongo) na mengi hayana practicality yo yote ndiyo maana inasemekana ana madeni mengi kuliko assets + bankruptcy kibao. Wanasema hii ndo sababu kuu hataki kabisa kuonyesha makaratasi yake ya kodi ambayo anaogopa kuwa yatamuumbua kwa kuonyesha kuwa ana hela kidogo kuliko anavyotamba.
Shunie anakusalimiaa
 
Gangster in parliamentary,
Hana u-gangster wo wote huyu. Kwa vile ana Mrs basi si ajabu anajiona "mwanaume" kweli.
7033026c8884342c06ce73da87ba2ff2.jpg
 
NUKUU YA LEO

If you love life, don't waste time for time is what life is made up of

Kama unapenda maisha, usipoteze muda , muda ndio unaofanya kuwepo na maisha
be674a522c06537c4ca8c415d42b0be6.jpg

Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwigizaji/mtengeneza filamu na mcheza judo wa kichina Lee Jun-Fan alimaarufu kama Bruce Lee.

Bruce Lee alizaliwa 27/11/1940 Huko Franscisco Marekani na kufariki 20/07/1973 huko Kowloon Tong, Hong kong.

Bruce Lee anakumbukwa kwa kazi nzuri kama Fist of Fury, Way of the Dragon na The big Boss.

Kifo cha bruce kinaacha utata mkubwa japo madaktari wa hospital ya Queen Elizabeth wanadai alifariki kwa allergy ya painkillers za meprobamate.
be5bbcfb926bfaee16032fe279874035.jpg

825cfee7923271bad38aef8f415e4248.jpg

Time is life, life is time..!

Mchana mwema wakuu.
Mr T
Asante kwa nukuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom