Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,538
Dah ni hatar kwa kwelihii kitu inawezekana ikawa kweli mbona inazungumziwa sana
Dah ni hatar kwa kwelihii kitu inawezekana ikawa kweli mbona inazungumziwa sana
Nimeambiwa huku hakuna kinachokosekana, kwahiyo kama hakuna vijiziwa vya ng'ombe basi nipeni japo vya ngamia tu, msinifanyie ivyozawadi hakuna huku
Nimekumiss sana mke wangu...Baby
Nakumiss mnoo, halafu lee anajibu kwa ukauzu tuu
mpaka ndani mkuu?Sasa humu kuna wageni wengi..
Karibuni wakuu
Pamoja mkuu

aisee inasikitishaWaafrika sometimes yaani tupo kama wanyama. Huyu mama wanamchoma moto laivu kisa eti mchawi.![]()
Nimekumiss sana mke wangu...Baby
Nakumiss mnoo, halafu lee anajibu kwa ukauzu tuu
Lee muache tuu..Baby
Nakumiss mnoo, halafu lee anajibu kwa ukauzu tuu
weeeh nina mume mm tena yupo humu nilikwambia mm mke wa mtuUnaona sasa unanikimbia mimi mjasriamali unakimbizwa na maparoko sasa.... Stop running away Shunie.
Sebuleni mwishompaka ndani mkuu?
Chuga girl ni ajee?
Aisee na sisi jeee kweli mapenzi yana nguvuYaani
Yabidi niwe naenda na wewe job, without you humu sipawezi
The vulture is a patient birdI love you my sweetie![]()
![]()
![]()
Hahahaa! Shunie nani anamsumbua mke wangu?Aisee na sisi jeee kweli mapenzi yana nguvu
Dah ,sasa kama ni mgeni wa kulala ?Sebuleni mwisho
hivi lee una ugeni nae waongee wengine dada sio wwBaby
Nakumiss mnoo, halafu lee anajibu kwa ukauzu tuu
Asante mkuuKaribu mkuu..
hakuna maziwa hukuNimeambiwa huku hakuna kinachokosekana, kwahiyo kama hakuna vijiziwa vya ng'ombe basi nipeni japo vya ngamia tu, msinifanyie ivyo
Kuna nyumba ya mgeni nje...Dah ,sasa kama ni mgeni wa kulala ?
ntalala hapa hapa sebuleni??
hamna banaHahahaa! Shunie nani anamsumbua mke wangu?