STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,262
MI mgeni humu aisee,Karibu wenyeji wako jikon
MI mgeni humu aisee,Karibu wenyeji wako jikon
ilove you moreee hunnie [emoji8] [emoji8] [emoji8]
karibu, pita mpaka ndani mkuuMI mgeni humu aisee,
nakupenda pia unajua ninavyokupenda ila nimejifunzaNampenda mdogo wako japo ananitesaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaito veeepPendaneni tu maana hamna namna ingine
si mchezo poleacha tu nilikua natetea ndoa niliwekwa pending kidogo tutaonana
Pamoja sakayoPoa Poa
santee snipessi mchezo pole
[emoji85] [emoji85]santee snipes
[emoji15]Kuhama ni singeweza maana mi nina hasira za mapema ila huwa naogopa sana kuwakwaza wadau
Shukrani mkuuKaribuu
Mkuu mzima[emoji15]
[emoji15]Nampenda mdogo wako japo ananitesaa
Lazima niicheze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaito veeep
NdukiiiiiiShkamo roho ya jj'es
Kuhamia mjini hakuhuitaji maombi ni wewe na nauli tu, zaidi nitakuombe namna ya kupambana na changamoto za mjiniMwambie paroko nahitaji maombi nihame kijijini nije mjini maana naona mjini fursa nyingi sana
Ushauri ni kwamba usimuache shunie aje kanisani peke yake, msindikize kamata mkono mji wote, wanasema kuwa mapenzi yanaimarika sana pale mume na mke wanapoenda kusali pamoja kanisani....Aiseeeh
Unanishaurijee Baba paroko
Hahahaha soma tu ili ukabiliane na haliAta mengine najifanya sisomii
Asante paroko kwa kunitia moyoKuhamia mjini hakuhuitaji maombi ni wewe na nauli tu, zaidi nitakuombe namna ya kupambana na changamoto za mjini