Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji134] [emoji134][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Panda bajaji uje [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji134] [emoji134][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Panda bajaji uje [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mume wangu kipenziMorning mkuu..
Morning fam
Asante mkuu kwa historiaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
Pole sana mwambie rafiki yako shunie akutafutie wa kupiga naye story make ubaridii changanya na upweke mawazo lukukii[emoji4] [emoji4] [emoji4]Huku ziko poa mkuu kibaridi Fulani kimechanganyikana na kimvua
Picha tafadhaliMume wangu kipenzi
Roho ya Sakayo
Sweet wa nafsi yangu
Barafu wa moyo wangu
Nyongo mkalia ini la Sakayo
Mwanaume wa ndoto zangu jamani, ni muda wa chai sasa nimekuandalia mtori hunie hali ya hewa si unaiona lakini..... Karibu chai...
Wana familia Karibuni chai.....
Hutakiii[emoji134] [emoji134]
1979 - Kourtney Kardashian anazaliwa.
Ni mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani.
Ana undugu na mrembo Kim Kardashian.
atafute mwenyewePole sana mwambie rafiki yako shunie akutafutie wa kupiga naye story make ubaridii changanya na upweke mawazo lukukii[emoji4] [emoji4] [emoji4]
natakaaaaHutakiii
Mapenzi mubasharaaaMume wangu kipenzi
Roho ya Sakayo
Sweet wa nafsi yangu
Barafu wa moyo wangu
Nyongo mkalia ini la Sakayo
Mwanaume wa ndoto zangu jamani, ni muda wa chai sasa nimekuandalia mtori hunie hali ya hewa si unaiona lakini..... Karibu chai...
Wana familia Karibuni chai.....
Ya niniPicha tafadhali
hivi huyu ndio aliyekua anatembea na yule mcheza basket aliingia kwenye utumiaji wa drugs huyo mwanaume
Hizo vitu hata SielewiOngeraa kwa 167k
Asante mkuuPolen na hongereni
Nafungua jukwaa kabisaaAhaaaaaaah sio wewe upakimbiè humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]atafute mwenyewe
ya chai tuone mbona Nyagei aliwekaYa nini
Nini wataka ??natakaaaa
ukimaanishaMapenzi mubasharaaa
Watajinyonga wengi aiseeeeeeh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmh naongeaje hapaNini wataka ??