Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hahahhhhNa itachezekaa
hahahhhhNa itachezekaa
Karibu mkuu..Unaona sasa unanikimbia mimi mjasriamali unakimbizwa na maparoko sasa.... Stop running away Shunie.
YaaniIs there anyone bothering you?
Nacheza kwaito bhanaau utacheza singeli hainaga ushemeji teh
hahahhhhBaba paroko kuwa siliasi ...Baba mwenye nyumba anakuonaa
Na wewe mlinzi unafanya kazi gani
hii kitu inawezekana ikawa kweli mbona inazungumziwa sanaHana u-gangster wo wote huyu. Kwa vile ana Mrs basi si ajabu anajiona "mwanaume" kweli.![]()
WooowNakula machalare leo ...
Whats wrong mama..Yaani
Yabidi niwe naenda na wewe job, without you humu sipawezi
AsanteSasa humu kuna wageni wengi..
Karibuni wakuu
KhaaaaaVick kamata kazuri jamani kazuri kama sakayo na shunie
Acha wakulane tuuhii kitu inawezekana ikawa kweli mbona inazungumziwa sana
atakua kabadilisha gear angani kama ndg yakeUnaenda wapi labda
BabyWhats wrong mama..
Kuna mtu anakusumbua?
nilijua kamaanisha zawadi kumbe ni viziwaHahaha
Unataka yule mchaga anipoteze kwenye uso wa dunia sio
Hivi wanaweza kulana?Acha wakulane tuu
hahahhhSielewi yaani
Yaani week haipiti bila kuyala...Wooow
Niliyala sana Moshi hayo mume wangu